Jamii

Kortini akidaiwa kusafirisha dawa za kulevya

RAIA wa Marekani, Brandon Summerlind (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka la…

Soma Zaidi »

Katekista kortini akidaiwa kumbaka mwanafunzi

MKAZI wa Mlangali wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Simon Njavike (43) ambaye pia ni katekista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mlangali…

Soma Zaidi »

‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya nchi’

Serikali imewataka Watanzania kuzingatia na kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi walizopo ili kulinda taswira nzuri ya nchi yao.…

Soma Zaidi »

Mjane wa Magufuli, Kawawa wamshukuru Samia

MJANE wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, Janeth Magufuli na mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu,…

Soma Zaidi »

Jela miaka 30 kwa kumbaka dada yake

FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh…

Soma Zaidi »

‘Wananchi wengi hawapendi njia ya usuluhishi’

WANANCHI walio wengi hawapendi njia ya usuluhishi  kwa kuamini kuwa kazi ya mahakama ni moja tu ya kufunga watu gerezani,…

Soma Zaidi »

TAKUKURU kuchunguza tuhuma madaktari Manyoni

BAADHI ya madaktari kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida wamelalamikiwa kuingia kazini huku wakiwa wamelewa na kushindwa kuhudumia…

Soma Zaidi »

Mtwara waja na mkakati wanafunzi kidato cha kwanza

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mtwara, mkoani Mtwara imepanga kuandaa mikutano katika vijiji vyake vyote kuzungumza na wazazi kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Wanafunzi wachangia chupa 400 za damu MOI

WANAFUNZI 600 kutoka vyuo mbalimbali vya Mkoa wa Dar es Salaam, wamejitokeza leo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili…

Soma Zaidi »

Pipi ‘utamu’ marufuku Zanzibar

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku bidhaa aina ya Lump Sugar maarufu ‘Vipipi utamu’  vinavyodaiwa kutumiwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button