Jamii

Binti ajinyonga kisa misuguano ya familia

BINTI aliyekatisha masomo ya sekondari mjini Iringa baada ya kupata ujauzito na kisha kujifungua, amekatisha maisha yake kwa kujipiga kitanzi…

Soma Zaidi »

Ukitupa hovyo taka Singida faini Sh 50,000

MANISPAA ya Singida imetakiwa kubadilisha mfumo wa kukusanya na kuhifadhi taka kwa kutunga sheria ndogo ambazo pamoja na mambo mengine,…

Soma Zaidi »

Mwalimu Gephason akutwa amekufa chumbani kwake

MWALIMU Gephason Shita wa Shule ya Msingi Tuwapende Watoto, iliyopo Bunju B, Kata ya Mabwepande jijini Dar es Salaam, emekutwa…

Soma Zaidi »

Mwanafunzi achangisha Sh Mil 100 kusaidia wenye usonji

KIASI cha Sh milioni milioni 100 kimechangishwa kusaidia kutekeleza huduma ya mazoezi tiba kwa wanafunzi wa kituo cha Msimbazi Mseto…

Soma Zaidi »

Ruvuma wajipanga utalii wa kiutamaduni

WADAU wa utalii Mkoa wa Ruvuma wanakusudia kuanzisha na kukuza utalii wa kiutamaduni (cultural tourism) sanjari na kuboresha maeneo yote…

Soma Zaidi »

Waliozuia watoto shule kutozwa mifuko ya saruji

MKUU wa Wilaya ya Chato, Martha Mkumpasi, ameagiza ufanyike msako wa wazazi waliozuia watoto kujiunga na kidato cha kwanza na…

Soma Zaidi »

Watoto wasumbua wizi Ikungi

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amesikiliza na kupatia ufumbuzi kero za wananchi wa Puma, wilayani Ikungi na kuagiza…

Soma Zaidi »

‘Pelekeni mifugo majosho ya serikali’

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Chilo, amewataka wafugaji wote nchini kupeleka…

Soma Zaidi »

Washindana nyimbo kusherehekea mwaka wa Kichina

TAASISI ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imeadhimisha mwaka wa kichina kwa wanafunzi wa kitanzania kwa…

Soma Zaidi »

Waraibu dawa za kulevya waomba matibabu kila mkoa

WARAIBU wa dawa za kulevya  kutoka mikoa mbalimbali, wanaotibiwa katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Sekou Toure, wameiomba serikali kuanzisha…

Soma Zaidi »
Back to top button