Jamii

Kortini kwa kumchoma mtoto kwa moto wa mkaa

MKAZI wa Matalawe mkoani Njombe, Furaha Lugenge (28) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumchoma moto mtoto wa mume wake sehemu…

Soma Zaidi »

Nauli mpya mwendo kasi Dar kuanza leo

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi…

Soma Zaidi »

Sh tri 1.15 kujenga madarasa msingi, sekondari

SERIKALI inatarajia kutumia jumla ya Sh  Tril. 1.15 kujenga madarasa kwenye shule za msingi na sekondari kote nchini, ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Shule jumuishi ya mfano yazinduliwa Mtwara

SERIKALI imezindua shule jumuishi ya Msingi ya kwanza ya mfano nchini kwa ajili ya kutoa elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji…

Soma Zaidi »

‘Msifiche watoto wenye mahitaji maalumu’

Wito umetolewa kwa wazazi wa watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani, badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule…

Soma Zaidi »

Mtoto wa miaka 4 atumbukia kisimani, afariki

MTOTO Elina Amos, mwenye umri wa miaka minne, mkazi wa mtaa wa Barenge, Geita amefariki dunia baada ya kutumbukia katika…

Soma Zaidi »

Washitakiwa 2 uhujumu uchumi wapata dhamana

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, Jayzan Kuchar maarufu kama China na Aloyce Francis wanaokabiliwa na mashitaka matatu ya uhujumu…

Soma Zaidi »

Mume mbaroni utata kifo cha mkewe

MKAZI wa Kiluvya Madukani wilayani Kisarawe, Primrose Matsambire (39) amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,…

Soma Zaidi »

Diamond akerwa wanaomponda Manara

MSANII Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekerwa na tabia ya baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii kumwandama aliyekuwa Ofisa Habari…

Soma Zaidi »

Mlinzi kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto

MKAZI wa Kata ya Nzovwe, jijini Mbeya, Isaya Nswila  (36) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya akidaiwa kumbaka mtoto mwenye…

Soma Zaidi »
Back to top button