Jamii

Mume mbaroni akidaiwa kumchinja mkewe

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemkamata Mapinduzi Siliya (45) akituhumiwa kumuua mkewe, Terezia Mtajiha kwa kumchinja kwa kutumia kisu na…

Soma Zaidi »

Pasipoti 10 zenye nguvu zaidi baraani Afrika

WAKALA wa Henley & Partners umetoa ripoti yake ya kila mwaka ya hati za kusafiria zenye nguvu zaidi duniani ambapo…

Soma Zaidi »

Wateja 100 wa mwanzo kuunganishiwa maji Sh 50,000

WATEJA 100 watakaotangulia kuomba kuunganishiwa huduma ya majisafi kwenye mradi wa Ulemo – Misigiri, watatozwa bei ya promosheni ambayo ni…

Soma Zaidi »

Atuhumiwa kumuua bintiye kwa kumpiga kisa Sh 56,000 

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Joyce Matingo (26) mkazi wa Unyamwanga, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, kwa tuhuma…

Soma Zaidi »

‘Polisi isibague wafupi katika ajira’

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umemwomba Rais Samia Suluhu Hassan Jeshi la Polisi lisiwabague watu wafupi katika…

Soma Zaidi »

Rais Samia ahadharisha vijana utajiri wa haraka

 RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza vijana wawe na fikra za mageuzi ya kiuchumi kwa kubuni na kuanzisha miradi badala ya…

Soma Zaidi »

‘Marufuku kupandisha bei vocha za simu’

BARAZA la Ushauri la watumiaji wa huduma za Mawasiliano (TCRA CCC), limepiga marufuku upandaji bei ya vocha za simu  kiholela…

Soma Zaidi »

Nape: Wananchi wakopeshwe simu kukuza uchumi

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezitaka kampuni za simu za mkononi nchini kuwa na utaratibu…

Soma Zaidi »

Mambo yanoga shule Bukoba

JANUARI 9, 2023 shule zimefunguliwa huku wazazi mitaa mbalimbali  Manispaa ya Bukoba wakionekana kuambatana  na watoto wao wanaoenda kuripoti kwa…

Soma Zaidi »

Wajifungua kwa kutumia mwanga wa tochi ya simu Liwale

WANANCHI wa Kijiji cha Ndapata Kata ya Mlembwe wilayani Liwale, wameomba serikali iwasaidie kuwaletea umeme katika zahati ya kijiji hicho,…

Soma Zaidi »
Back to top button