Jamii

Waziri asema madalali ni chanzo migogoro ya ardhi

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar, Rahma Kassim Ali amesema asilimia 80 ya migogoro ya ardhi nchini inasababishwa…

Soma Zaidi »

Ajitolea kuwakatia bima ya afya watoto 150

MKURUGENZI wa Kampuni ya Rock Solution, Zacharia Nzuki amesema atawakatia bima ya afya  watoto 150 wanaoishi katika mazingira magumu. Watoto…

Soma Zaidi »

Kijana ajiua akihofia kudaiwa Sh 45,000

KIJANA anayefahamika kwa jina la Bukindu Bukindu (22), mkazi wa kijiji cha Ihega, Kata ya Bukoli wilayani Geita amefariki kwa…

Soma Zaidi »

Waliofariki ajali Moro watajwa, wapo wanandoa

WATANO watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro wametambuliwa wakiwemo mume na mke, ambao pia ni wanafunzi wa Chuo…

Soma Zaidi »

Amani, utulivu vyatawala Krismasi

WAKATI juzi Watanzania wakisheherekea Sikukuu ya Krismasi, Jeshi la Polisi katika mikoa mbalimbali limesema hali ilikuwa shwari na kuwepo kwa…

Soma Zaidi »

RUSHWA YA NGONO : Dudu linalofichwa huku likiumiza wengi

“Sote tunakumbuka kwamba, sheria ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya Mwaka 2007, Kifungu cha 25 inafafanua…

Soma Zaidi »

Mtoto ajinyonga akibembea kwenye mwembe

MTOTO wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa bahati mbaya kwenye mti…

Soma Zaidi »

Wataka uwiano sawa wa walimu mjini na vijijini

WADAU wa elimu mkoani Mwanza wamelalamikia kutokuwepo kwa uwiano sawa wa walimu kati ya halmashauri za mjini na vijini. Walidai…

Soma Zaidi »

Bil 580/- zaenda kaya maskini

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) imetumia zaidi ya Sh bilioni 580.2 kuwalipa walengwa kutoka kaya maskini tangu kuanza kipindi…

Soma Zaidi »

Bwana harusi ajinyonga akisubiriwa ukumbini

SWADIKA Abasi (50), mkazi wa Kiseke katika Manispaa ya Ilemela amejinyonga hadi kufa kwa mtandio sebuleni kwake baada ya kujifunga…

Soma Zaidi »
Back to top button