Jamii

VERONICA Shirima (49), mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi aliyepambana kujitafutia kazi ya kuboresha maisha yake bila ya kusubiri utegemezi. Ni…

Soma Zaidi »

Mama mbaroni kuua watoto wake 2, kujeruhi wengine 2 

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemkamata mkazi wa Mtaa wa Ilolo, Kata ya Sinde, Shari Mwambamba (27) akituhumiwa kuua wanawe…

Soma Zaidi »

Asilimia 40 ya wanawake wamefanyiwa ukatili

ASILIMIA 40 ya wanawake wenye umri wa miaka 15 hadi 49 wamefanyiwa ukatili wa kimwili au kingono mara moja au…

Soma Zaidi »

CCM yafanya maamuzi magumu Simiyu, Arusha, Mbeya

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefuta matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Umoja wa Vijana Mkoa wa Simiyu na kusimamisha…

Soma Zaidi »

Waziri Mchengerwa azindua tamasha la utamaduni

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amezindua Tamasha la Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini na Tanzania linalotarajiwa…

Soma Zaidi »

DC ataka suluhu changamoto za wakulima wa Tumbaku

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Onesmo Buswelu amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya hiyo kuhakikisha anakaa karibu…

Soma Zaidi »

Watano wafungiwa leseni za udereva Arusha

JESHI la Polosi mkoani Arusha limezifungia leseni tano za udereva kutokana na makosa mbalimbali ya usalama barabarani, Kamanda wa Polisi…

Soma Zaidi »

Viongozi mbaroni kwa kuuza ardhi

JESHI la Polisi limewakamata viongozi wanne wa vijiji wilayani Handeni, Tanga kwa tuhuma za kuuza ardhi zaidi ya ekari 500…

Soma Zaidi »

Wanufaika wa mikopo waipongeza serikali

WAJASIRIAMALI katika Jiji la Dodoma walionufaika na mikopo ya Sh milioni 170 iliyotolewa na serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya…

Soma Zaidi »

Shuhuda wa ajali ya Precision Air: Nilitamani kuandika barua

ZIKIWA zimepita siku nane tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya ‘Precison Air’ katika Ziwa Victoria na kuuwa watu 19,…

Soma Zaidi »
Back to top button