Jamii

Askari watoa msaada kituo cha watoto yatima.

Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza 22 kazini, wametoa msaada katika kituo cha kulea watoto yatima cha…

Soma Zaidi »

Idadi ya viongozi wanawake yaongezeka

WAKUU wa mikoa wanawake wameongezeka kutoka asilimia 10 mwaka 2005 hadi asilimia 23 mwaka 2022, huku wakuu wa wilaya wakiongezeka…

Soma Zaidi »

Lishe endelevu yawafikia wakulima Iringa

MRADI wa USAID Lishe Endelevu umeanzisha mashamba ya mfano 186 na kuwafikia na kuwajengea uwezo wakulima 6,842 ikiwa ni sehemu…

Soma Zaidi »

Heko Rais Samia, mcheza kwao hutunzwa

IKIWA imesalia wiki moja  kabla ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jamii ya wanazuoni inaona umuhimu wa kumtunuku Udaktari…

Soma Zaidi »

RC Morogoro atahadharisha utapeli wa viwanja

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwassa amewatahadharisha wananchi wa mkoa huo kuepuka kuwashirikisha watendaji kata ,vijiji, mitaa na wenyekiti…

Soma Zaidi »

‘School Bus’ zote kuwa na Konda wanawake,ni baada ya mtoto wa miaka 6 kubakwa

KUBAKWA kwa mtoto wa miaka sita wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Star Light Pre and Primary…

Soma Zaidi »

Mtandao wa Wanawake watoa msukumo kwa nafasi za uongozi

MRATIBU wa Kitaifa wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu (CWHRDS), Hilda Dadu amesema mtandao wake unaendelea kutoa…

Soma Zaidi »

Samia ataka uthubutu kwa wanawake

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza wanawake wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wawe…

Soma Zaidi »

Mpango akerwa ukatili kwa watoto/ukahaba

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameviagiza vyombo vya dola viongeze nguvu kupambana na ukatili dhidi ya watoto wa kike…

Soma Zaidi »

Uzito uliokithiri, vitambi chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza

WAKATI Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na…

Soma Zaidi »
Back to top button