Jamii

Wagomea shule kisa ugomvi wa baba, Mwalimu Mkuu

WANAFUNZI watatu wa familia moja, ambao wanasoma  shule ya Msingi Makote wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, wamelazimika kukaa nyumbani kwa…

Soma Zaidi »

Tamasha la Masai laja

TAASISI ya Masai Festival, imeandaa tamasha lenye kujumuisha jamii ya Wamasai, lengo likiwa ni kupongeza juhudi zinazofanywa na Rais Samia…

Soma Zaidi »

Msikimbilie kujifungua kwa upasuaji-Daktari

WANAWAKE wanaopata ujauzito mkoani Morogoro wameshauriwa wasiogope kujifungua kwa njia ya kawaida isipokuwa inapolazimu kujifungua kwa njia ya upasuaji. Hospitali…

Soma Zaidi »

Wapatiwa vifaa kufungiwa huduma ya maji

WANANCHI  wa maeneo ya Kisanga, Kilimahewa, Muungano, Kinzudi, Majengo, Salasala, Muungano na Mivumoni waliokamilisha taratibu za kupata huduma ya maji…

Soma Zaidi »

Mashindano ya mbuzi kusaidia jamii Dar

KIASI cha Sh milioni 70 kitatumika kuboresha huduma za elimu kwa kujenga miundombinu kama vyoo na ukarabati wa madarasa Mkoa…

Soma Zaidi »

Samia: Tunatenda zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inatenda zaidi kuliko kusema hivyo wananchi watoe ushirikiano kuongeza kasi…

Soma Zaidi »

‘lishe duni ina athari kwa elimu ya mtoto’

UDUMAVU kwa mtoto pamoja na lishe duni, huchangia kupata athari zisizoweza kurekebishwa katika maisha yake yote, hata kama baadaye atapata…

Soma Zaidi »

Aliyemuua mdai wake ahukumiwa kunyongwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani…

Soma Zaidi »

Filamu za Tanzania zachomoza Netflix

Filamu tatu za Tanzania zimepata nafasi kuoneshwa  kwenye mtandao wa kimataifa wa kuonyesha filamu wa Netflix. Hayo yamesemwa na Meneja…

Soma Zaidi »

Watakiwa wasiwageuze mtaji waliomaliza la saba

WAZAZI na walezi wenye watoto waliohitimu darasa la saba Wilaya Mpanda,  mkoani Katavi wametakiwa wasiwageuze watoto wao mtaji wa kujiingizia…

Soma Zaidi »
Back to top button