Jamii

Sakata la anayedai kubadilishiwa namba latua NECTA

BARAZA la Mitihani nchini (NECTA), limesema linafanyia kazi taarifa iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim akilalamika akidai kubadilishiwa namba…

Soma Zaidi »

Wamuenzi Nyerere kwa usafi Zahanati Sombetini

TAASISI ya Bethany International Services, imemuenzi hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa kufanya usafi Zahanati ya Sombetini jijini Arusha na kutoa…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 2,397 wadakwa matukio dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, imeteketeza kilogramu 11, 766. 88 katika kipindi cha Julai 1, 2022…

Soma Zaidi »

Yajue magari 6 aliyotumia Mwalimu Nyerere

MAKUMBUSHO ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari sita yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere Julius Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo …

Soma Zaidi »

‘Tembeleeni Makumbusho mjifunze mambo ya Nyerere’

KATIKA kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makumbusho ya Taifa, imewahimiza Watanzania kutembelea maeneo mbalimbali ya makumbusho kujifunza…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Oktoba 13, 2022

HABARI KUU: Oktoba 13, 2022 Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Oktoba 13,…

Soma Zaidi »

Babu adaiwa kumnajisi mjukuu wa miaka 5

JESHI la Polisi, mkoani Simiyu linamshikilia, Mahona Mboje (65), Mkazi wa Kijiji cha Mpindo, Kata ya Sanga, wilayani Maswa kwa…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kutumia fursa kujiletea maendeleo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka halmashauri zote nchini ziendelee kutekeleza agizo la serikali la kutenga maeneo rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki…

Soma Zaidi »

Waomba utatuzi changamoto za mtoto wa kike

WATOTO wa kike kutoka mikoa mbalimbali nchini,  wameiomba serikali kuhakikisha inaondoa mifumo yote ya kisheria inayokwamisha upatikanaji wa elimu kwa…

Soma Zaidi »

Wajasiriamali watakiwa kutambua umuhimu wa bima

WAJASIRIAMALI wametakiwa kutambua umuhimu wa bima na kuwa na bima za biashara, ili wanapopatwa na majanga mbalimbali yakiwemo moto, kuharibikiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button