Jamii

IMETHIBITIKA: Daktari Mtanzania afa kwa Ebola Uganda

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amethibitisha kifo cha daktari Mtanzania, Mohamed Ali Hafidh, aliyefariki kwa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda.…

Soma Zaidi »

Serikali yaja na maabara inayotembea kupima Ebola

KATIKA Kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa  Ebola nchini, serikali imeweka maabara tembezi ya kupima virusi vya ugonjwa huo ambayo imefungwa…

Soma Zaidi »

DC Jokate awataka wananchi kuondoka vijiweni

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amewataka wananchi anaowaongoza kuondokana vijiweni na kuchangamkia fursa za ajira. Jokate ameyasema hayo…

Soma Zaidi »

Washukiwa watano wa ujambazi wauawa, saba watoroka Iringa

WATU watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kati ya 12 wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika majibizano ya risasi na Polisi…

Soma Zaidi »

Ripoti yafichua rushwa ya ngono inavyowaathiri wanahabari wanawake

RIPOTI ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2021/2022 iliyozinduliwa leo Ijumaa, jijini Dar es Salaam imeonesha kuwa rushwa…

Soma Zaidi »

Wadau wataja ya kuzingatia marekebisho sheria ya ndoa

WIZARA ya Katiba na Sheria imeanza kukusanya maoni ya wadau na makundi mbalimbali kwa lengo la kufanyia marekebisho Sheria ya…

Soma Zaidi »

Wanaofanya ‘uhausigeli’ Saudi Arabia hawatambuliki ubalozini

BALOZI wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini…

Soma Zaidi »

Mfanyabiashara asimulia alivyotapeliwa mil 130/-

MFANYABIASHARA na shahidi katika kesi ya kupanga njama za kutenda kosa na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu inayowakabili watu…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Septemba 29, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 29, 2022

Soma Zaidi »

‘Royal Tour’ yazinduliwa Sweden  

Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake uliopo Sweden imezindua filamu ya Royal Tour jijini Stockholm kwa lengo la kuwavutia watalii kutembelea vivutio mbalimbali…

Soma Zaidi »
Back to top button