Jamii

HABARI KUU: Septemba 28, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 28, 2022 jioni.  

Soma Zaidi »

DC ataja ‘mikopo umiza’ chanzo umasikini kwa walimu

MKUU wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Hassan Ngoma ametoa wito kwa walimu kupunguza idadi ya mikopo wanayokopa katika taasisi…

Soma Zaidi »

Sh Bil 19 kuboresha miundombinu ya maji Mtwara

SERIKALI imetoa kiasi cha sh bilioni 19 kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), kwa ajili…

Soma Zaidi »

‘Usimamizi masuala ya chakula urejeshwe TMDA’

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeishauri serikali kufanya tathmini ya kina ya usimamizi wa…

Soma Zaidi »

Kerege maji bwerere mwishoni mwa mwaka

WAKAZI wa vitongoji vya Nyakahamba na Kitonga Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamehakikishiwa huduma ya maji ifikapo…

Soma Zaidi »

Mahakama Kuu yafuta hukumu kesi ya uchawi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imefuta hukumu ya kifungo cha miaka mitano jela iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Ludewa…

Soma Zaidi »

Waupigia chapuo mpango wa kunusuru kaya maskini

MTANDAO wa Wabunge wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (PNoWB), wameridhishwa na jinsi wanufaika wa Mpango…

Soma Zaidi »

Wenye ulemavu watakiwa kuchangamkia fursa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amewataka watu wenye ulemavu…

Soma Zaidi »

Serikali yashauriwa kukabiliana na ushirikina, kamari

SERIKALI imetakiwa kuongeza juhudi za kukabiliana na ongezeko la imani za kishirikina nchini kwa sababu imani hizo zinavuruga jitihada kubwa…

Soma Zaidi »

WHO: Kila mtu anywe maziwa lita 200 kwa mwaka

JE, unajua kuwa unatakiwa unywe kiasi cha lita 200 za maziwa kwa mwaka? Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likipendekeza…

Soma Zaidi »
Back to top button