Jamii

Makarani sensa hatarini kufungwa miezi sita

SERIKALI imeonya makarani wa sensa ya watu na makazi waache kupiga picha na wananchi wanapoifanya kazi hiyo. Mtakwimu Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Wanne wadaiwa kufa moto mganga akiwaondolea mikosi

WATOTO wanne wamefariki dunia baada ya kuungua na wengine saba kujeruhiwa kwa moto uliowashwa kwa madai ya kuondoa mkosi katika…

Soma Zaidi »

NSSF yajitosa mchango wa diaspora kukuza uchumi

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeunga mkono mchango mkubwa unaotolewa na Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora),…

Soma Zaidi »

Kampeni kudhibiti vibebeo vya plastiki wiki ijayo

SERIKALI imepanga kuanza kampeni kabambe ya kitaifa ya kupambana na matumizi ya vifungashio kuwa vibebeo iliyolenga kuanza Jumatatu ijayo nchini…

Soma Zaidi »

Mkonge wamvuta mwana wa mfalme nchini

BODI ya Mkonge Tanzania (TSB) imesema iko tayari kushirikiana na Falme ya Babina Noko Ba Mampuru iliyopo katika Jimbo la…

Soma Zaidi »

Kabudi ahimiza utunzaji misitu

MBUNGE wa Kilosa, mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi  amewataka wananchi kutunza misitu. Profesa Kabudi alisema hayo jumatano katika Kata ya…

Soma Zaidi »

Wakazi wa Lulanzi waiangukia Dawasa

WAKAZI wa Mtaa wa Lulanzi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani wameiomba Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es…

Soma Zaidi »

 Nyamka ateuliwa Kamishna Jenerali Magereza

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebishaji, Mzee Nyamka kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la…

Soma Zaidi »

Wanawake wahamasishwa ufugaji wa nyuki

ALICE Kibipi mfugaji nyuki wilayani Butiama, mkoa wa Mara amewashauri wanawake wenzake kujikita katika biashara hiyo na kuachana na dhana…

Soma Zaidi »

Panzi mwenye rangi ya Taifa ajengewa mnara Dar

PANZI mwenye rangi sawa na bendera ya Tanzania, anayepatikana katika hifadhi ya mazingira asilia Pugu Kazimzumbwi, Wilaya ya Kisarawe, Pwani…

Soma Zaidi »
Back to top button