Jamii

Wananchi Loliondo kufikiwa huduma ya mawasiliano

WANANCHI wa Loliondo wilayani Ngorongoro na Simanjiro Mkoa wa Manyara wanatarajia kunufaika na huduma za mawasiliano kutoka kampuni ya Yas…

Soma Zaidi »

DC Mahawe afariki dunia, Rais Samia aomboleza

MKUU wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Ester Mahawe amefariki dunia leo mkoani Kilimanjaro. Taarifa ya kifo cha DC Mahawe…

Soma Zaidi »

Baba aua watoto wawili akidai amebambikwa

JESHI la Polisi mkoani Songwe limewakamata watuhumiwa wanne ambao ni Junge Jilatu na wenzake watatu wakazi wa Kijiji cha Namsinde,…

Soma Zaidi »

Dada wa kazi atoweka na watoto 2, wazazi wahaha

DADA wa kazi aliye fahamika kwa jina moja la Neema (35) anatuhumiwa kutoweka kus ikojulikana na watoto wawili wenye umri…

Soma Zaidi »

Mume, mke matatani wakituhumiwa kuiba mtoto

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia mume na mke, wakazi wa Mtaa wa Mji Mwema Manispaa ya Songea kwa tuhuma…

Soma Zaidi »

Don: Filamu hii itakufanya uite maji ‘mma’

DON ni filamu ya mwaka 1978 iliyojaa taharuki, ikiwa imeongozwa na Chandra Barot. Katika filamu hii, Amitabh Bachchan amecheza nafasi…

Soma Zaidi »

Wanaume 2 waliovalia gauni, vilemba wauawa tukio la ujambazi

WANAUME wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa wamevalia gauni na vilemba kwa lengo la kuficha utambulisho wao, wameuawa kwa kupigwa…

Soma Zaidi »

Dk Slaa kizimbani, atuhumiwa kusambaza uongo

MWANASIASA Dk Wilbrod Slaa (76) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo kupitia…

Soma Zaidi »

Akamatwa kwa kuua mtoto wake, kumzika shambani

JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Masanja Mihayo (31) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ikandilo, Wilaya ya Geita…

Soma Zaidi »

Wazazi Mtwara wafundwa elimu kwa watoto

WAZAZI katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kuona umuhimu wa elimu kwa watoto kwa sababu ndio…

Soma Zaidi »
Back to top button