Sanaa

Tamasha la Masai laja

TAASISI ya Masai Festival, imeandaa tamasha lenye kujumuisha jamii ya Wamasai, lengo likiwa ni kupongeza juhudi zinazofanywa na Rais Samia…

Soma Zaidi »

Filamu za Tanzania zachomoza Netflix

Filamu tatu za Tanzania zimepata nafasi kuoneshwa  kwenye mtandao wa kimataifa wa kuonyesha filamu wa Netflix. Hayo yamesemwa na Meneja…

Soma Zaidi »

Kikwete roho kwatu kwenye muziki

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema yeye ni mpenzi wa muziki na kwamba anapenda kuimba. Akizungumza katika…

Soma Zaidi »

Filamu yachangia ajira 30,000 kwa mwaka

SEKTA ya filamu imeweza kuchangia ajira takribani 30,000 ndani ya mwaka mmoja wa 2021, huku uwekezaji katika sekta hiyo ukizidi…

Soma Zaidi »

Tamasha kumuenzi Mwalimu Nyerere laja

TAMASHA la kumuenzi Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, linatarajiwa kufanyika Oktoba 14, 2022 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini…

Soma Zaidi »

Zuchu: Sichoti fedha za Diamond

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Zuhura Othuman ‘Zuchu’ amesema matumizi mbalimbali anayofanya anatumia fedha zake na wala sio fedha za…

Soma Zaidi »

Kampeni Ngoma Juu ya Ngoma yazinduliwa

Kampuni ya Audiomack, imezindua kampeni inayojulikana kama Ngoma Juu Ya Ngoma, inayolenga kukuza ubunifu na kuuza muziki wa kitanzania na…

Soma Zaidi »

Nandy ajifungua mtoto wa kike

Msanii huyo ambaye ni mke wa msanii mwingine mahiri nchini William Lyimo ‘Billnass’, ameandika katika ukurasa wake wa instagram akishukuru…

Soma Zaidi »

Ndoa ya Wolper Novemba

MFANYABIASHARA na mbunifu wa mavazi, Rich Mitindo ambaye pia ni mzazi mwenza wa msanii wa filamu, Jaqueline Wolper ameweka wazi…

Soma Zaidi »
Back to top button