Sanaa

Filamu ya Eonii gumzo

FILAMU ya Eonii iliyoongozwa na Mtanzania Eddie Mzale, imeendelea kuwa gumzo kwenye maeeno mbalimbali na kumwagiwa sifa. – Filamu hiyo…

Soma Zaidi »

Hollantex kufanya kazi na msanii mkubwa Bongo

Kampuni maarufu ya kutengeneza  vitenge ya Holantex imeleta msisimko mkubwa katika tasnia ya sanaa ya muziki wa kizazi kipya na…

Soma Zaidi »

‘Nachukia wanaoniomba niwazalie’

MSANII Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie…

Soma Zaidi »

Shamsa Ford: Punguzeni kuniomba fedha

MWIGIZAJI Shamsa Ford amesema  watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia ujumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kumwomba fedha.…

Soma Zaidi »

Wanaowania Tuzo za Muziki watajwa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk Pindi Chana ametangaza vipengele vya wanamuziki wanaowania tuzo za muziki mwaka 2023.…

Soma Zaidi »

Dude asikitishwa kuzushiwa kifo

MWIGIZAJI Kulwa Kikumba ‘Dude’ amesema amesikitishwa na kitendo cha mwanamuziki wa singeli, Dulla Makabila kumzushia kifo jana kitendo ambacho kiliwashtua…

Soma Zaidi »

Harmonize kuanza ziara ya kimataifa

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ametangaza kuanza ziara ya muziki duniani kuanzia Aprili 29, mwaka huu…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuzipa kipaumbele filamu za Watanzania

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kuangalia filamu zinazozalishwa na wasanii wa ndani, ili waweze kuzikosoa na kupata zenye ubora utakaokidhi…

Soma Zaidi »

‘Tukiacha woga tutazalisha wasanii wengi wazuri’

MWIGIZAJI mkongwe wa filamu Single Mtambalike, ‘Richie’ amewaomba maprodyuza wa filamu kuacha woga wa kutowaamini waongozaji wa kazi zao. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Mzee Jangala anavyopambana na Sanaa za maonesho

“SISI wasanii wa kikundi cha Sanaa za Maonesho Mandela (Mandela Theatre Troupe), tumeona sanaa zetu za maonesho zinatoweka, tumeona kuna…

Soma Zaidi »
Back to top button