Africa

Rais Ramaphosa atangaza Baraza la Mawaziri

PRETORIA, South Afrika – Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemteua kiongozi wa zamani wa upinzani John Steenhuisen kuwa waziri…

Soma Zaidi »

Maandamano Kenya yaua, yajeruhi

KENYA; Zaidi ya watu 30 wamejeruhiwa na mtu mmoja amefariki dunia katika maandamano nchini Kenya ya kupinga mapendekezo ya nyongeza…

Soma Zaidi »

Vijana waandamana Kenya

KENYA; Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria…

Soma Zaidi »

PICHA: Rais Samia akiwasili Jengo la Umoja

PRETORIA – Rais  Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla…

Soma Zaidi »

Ramaphosa achaguliwa muhula wa pili urais

AFRIKA KUSINI – KIONGOZI wa Chama cha African National Congress (ANC), Cyril Ramaphosa amechaguliwa kuhudumu kwa muhula wa pili kama…

Soma Zaidi »

Ndege yapotea ikiwa na Makamu wa Rais Malawi

Ndege ya kijeshi iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi na watu wengine tisa imepotea, na jitihada za utafutaji zinaendelea, ofisi…

Soma Zaidi »

Spika wa Bunge Afrika Kusini ajiuzulu

CAPE TOWN, Afrika Kusini: NOSIVIWE Mapisa-Nqakula amejiuzulu rasmi nafasi ya uspika wa Bunge la Afrika Kusini kutokana na tuhuma za…

Soma Zaidi »

Zuma akata rufaa marufuku ya uchaguzi

AFRIKA KUSINI; Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewasilisha rufaa dhidi ya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo,…

Soma Zaidi »

Sonko ateuliwa Waziri Mkuu Senegal

SENEGAL; RAIS mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Sonko mpinzani wa…

Soma Zaidi »

Mwigizaji mwingine nguli Nigeria afariki dunia

NIGERIA: Abuja. MUIGIZAJI, mtayarishaji na muongozaji wa filamu mkongwe nchini Nigeria Amaechi Muonagor, amefariki dunia baada ya kuugua figo, kisukari…

Soma Zaidi »
Back to top button