Africa

Waziri Mkuu DR Congo ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa DR Congo, Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu. Lukonde aliwasilisha ombi la kujiuzulu kwa Rais Felix Tshisekedi. Sasa atajiunga…

Soma Zaidi »

Somalia yaweka njia mbadala usalama

WAKATI Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kikijiandaa kujiondoa mwishoni mwa 2024, Serikali ya Somalia inapanga…

Soma Zaidi »

Marekani kujenga vituo vitano vya jeshi Somalia

MAREKANI imepanga kujenga vituo vitano vya kijeshi katika mradi unaotaka kuimarisha uwezo wa jeshi la taifa la Somalia huku kukiwa…

Soma Zaidi »

Wasakwa kwa kuiba $6.2m kutumia sahihi ya rais mstaafu Nigeria

NIGERIA inahitaji usaidizi wa Shirika la Polisi la Kimataifa la Uhalifu (nterpol) ili kuwakamata washukiwa watatu wanaodaiwa kuiba $6.2m kutoka…

Soma Zaidi »

Wabakaji Madagascar kuhasiwa

BUNGE la Madagascar limepitisha sheria inayoruhusu kuhasiwa kwa upasuaji kwa watakaopatikana na hatia ya ubakaji wa watoto. Sheria hiyo imesababisha…

Soma Zaidi »

Wanamgambo 10 wauawa katika shambulio Niger

WANAJESHI wanane wamejeruhiwa na wanamgambo 10 kuuawa katika shambulio lililohusisha silaha Kaskazini mwa Niger. Takriban wanamgambo 10 waliuawa na wanajeshi…

Soma Zaidi »

Upinzania Ghana wakataa kubadili tarehe ya uchaguzi

Mgombea urais wa upinzani nchini Ghana, John Mahama amepinga pendekezo la uchaguzi mkuu kuwasilishwa mwezi Novemba kuanzia Desemba mwaka huu.…

Soma Zaidi »

Shule Zambia zafunguliwa

SHULE nchini Zambia zimefunguliwa kwa mara ya kwanza mwaka huu, baada ya kuchelewa mara kadhaa kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa…

Soma Zaidi »

Watano wauawa tukio la kufyatua risasi Somalia

TAKRIBANI watu watano, wakiwemo maofisa wa kijeshi wa Somalia na mwanajeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, wameuawa leo baada…

Soma Zaidi »

Ruto amuelezea Lowassa

RAIS wa Kenya, William Ruto ameombeleza kifo cha Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa kwa kueleza namna alivyoguswa na kiongozi…

Soma Zaidi »
Back to top button