Africa

Watoto 700,000 kukumbwa na utapiamlo Sudan

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeeleza kwamba watoto 700,000 nchini Sudan wana uwezekano wa kukumbwa…

Soma Zaidi »

Malawi waondoa visa kwa nchi 79 duniani

MALAWI imeondoa vikwazo vya viza kwa wasafiri kutoka mataifa 79 katika juhudi za kukuza utalii na biashara nchini humo. Waziri…

Soma Zaidi »

Mgombea Misri akutwa na hatia kughushi nyaraka

ALIYEKUWA mgombea urais wa Misri, Ahmed Tantawy amekutwa na hatia ya kughushi nyaraka za uchaguzi na kuamriwa kulipa faini na…

Soma Zaidi »

Gesi yaua saba Kenya

WATU saba wamekufa baada ya lori lililobeba gesi kuwaka moto katika eneo Embakasi Nairobi nchini Kenya jana. Taarifa ya Msemaji…

Soma Zaidi »

Mbumba Rais mpya Namibia

RAIS mpya wa Namibia, Nangolo Mbumba leo ameapishwa kuwa rais wa nne wa taifa hilo baada ya rais Hage Geingob…

Soma Zaidi »

Samia atoa pole kifo cha Rais Geingob

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Kaimu Rais wa Namibia Dk Nangolo Mbumba, mke wa Rais,…

Soma Zaidi »

Rais wa Namibia afariki

WINDHOEK, Namibia: RAIS wa Namibia, Hage Geingob (82) amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lady Pohamba jijini Windhoek…

Soma Zaidi »

Niger, Burkina Faso, Niger zachukua sura mpya Ecowas

BAADA ya Burkina Faso, Mali na Niger kutangaza kujiondoa ECOWAS, hatua hiyo imezua hisia mbalimbali. Waziri Mkuu wa Burkinabe alihalalisha…

Soma Zaidi »

Walinda amani wa UN kuondoka DR Congo Desemba 2024

WALINDA amani wa Umoja wa Mataifa huko DR Congo wataondolewa wote kufikia Desemba 2024. Umoja wa Mataifa unasema. “Baada ya…

Soma Zaidi »

Wachimba migodi 15 waokolewa Zimbabwe

KIKOSI cha waokoaji jana Jumapili kimewaokoa wachimbaji wote 15 wa mgodi wa kujikimu walionasa chini ya shimo katika mgodi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button