Africa

Jeshi lakubali kusimamisha vita Sudan

JESHI la Sudan leo limetangaza kusitisha vita kwa muda wa saa 72 ambazo sawa na siku tatu. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

EABC kukutanisha vigogo wa biashara Afrika Mashariki

BARAZA la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) kwa kushirikiana na Afreximbank linaandaa mkutano wa Wakuu wa Biashara na Uwekezaji wa…

Soma Zaidi »

Vifo mapigano Sudan vyafikia 56

IDADI ya vifo katika mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la Sudan na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) imefikia 56…

Soma Zaidi »

Abiria afariki akisubiri ndege

MTU mmoja amekutwa amefariki dunia wakati akisubiri kusafiri kwa ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA)…

Soma Zaidi »

Naibu Rais akiri mishahara kuchelewa

NAIBU Rais wa Kenya Rigathi Gachagua alikiri Jumapili, Aprili 9, 2023, kwamba baadhi ya watumishi na viongozi wakuu wa taasisi…

Soma Zaidi »

Ruto ataka Bunge kutafakari hoja za Raila

RAIS William Ruto wa Kenya ameanza kushughulikia madai ya kinara wa upinzani, Raila Odinga na hali hiyo imefanya kusitishwa kwa…

Soma Zaidi »

UNICEF yatoa tamko mlipuko wa kipindupindu

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza hali ya dharura kwa watoto kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa…

Soma Zaidi »

Serikali yaahidi kuajiri walimu zaidi kukabili upungufu

SERIKALI imekusudia kuajiri walimu zaidi katika mwaka ujao wa fedha ili kuendana na changamoto iliyojitokeza baada ya serikali kujenga madarasa…

Soma Zaidi »

238 wanaswa maandamano Kenya

JESHI la polisi nchini Kenya linawashikilia waandamanaji 238 walioandamana jana katika mji wa Kisumu nchini Kenya wakipinga kupanda kwa gharama…

Soma Zaidi »

Museveni ashutumu mataifa ya Magharibi kushadadia ushoga

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amezishutumu nchi za Magharibi kwa kuweka haki za wapenzi wa jinsi moja kwa mataifa ya…

Soma Zaidi »
Back to top button