Kimataifa

Rais mstaafu Ivory Coast afariki

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Henri Konan Bedie amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89. Bedie alikuwa rais…

Soma Zaidi »

Rais Kagame, Mwenyekiti Star Times wateta

RAIS Paul Kagame wa Rwanda na Mwenyekiti wa Kampunini za Star Times wamekutana na kufanya mazungumz. Taarifa iliyotolewa na Star…

Soma Zaidi »

Putin afuta deni $23B Afrika

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amesema taifa hilo imefuta na kusamehe madeni ya mataifa ya Afrika yenye thamani ya Dola…

Soma Zaidi »

Wanajiolojia kukutana Zanzibar kujadili uchumi wa buluu

ZANZIBAR ZAIDI ya wanajiolojia 300 kutoka ndani na nje ya Tanzania wanatarajiwa kukutana Zanzibar kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mchango wa…

Soma Zaidi »

India yaanza kuunda mfumo ulinzi wa anga

INDIA, New Delhi: India imeanza kutekeleza mradi wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 2.5 (Sh trilioni 6) wa kuunda…

Soma Zaidi »

Urusi kutoa nafaka bure ‘kwa mataifa’ ya Afrika

URUSI, St Petersburg: itakuwa tayari kusafirisha nafaka bila malipo kwa baadhi ya mataifa maskini zaidi barani Afrika ndani ya miezi…

Soma Zaidi »

Madaktari Nigeria waanza mgomo usio na kikomo

MADAKTARI katika hospitali za umma nchini Nigeria wameanza “mgomo na usio na kikomo” kutokana na kile walichokieleza kuwa ni kushindwa…

Soma Zaidi »

Marekani kuongeza msaada wa kijeshi Ukraine

Pentagon imetangaza msaada mwingine wa usalama kwa Ukraine wenye thamani ya dola milioni 400 (Sh bilioni 980), ikiwa ni pamoja…

Soma Zaidi »

Mjukuu wa Mandela: Viongozi wa ‘maneno’ ni mzigo Afrika

MJUKUU wa Mandela, Ndileka Mandela amesema bara la Afrika linahitaji viongozi imara wenye hadhi ya babu yake kwa sasa kuliko…

Soma Zaidi »

Madaraka Nyerere ataka afrika moja urusi

AFRIKA lazima iungane kama bara na kuacha kutegemea nchi za nje kwa maendeleo yake, Madaraka Nyerere – mtoto wa Rais…

Soma Zaidi »
Back to top button