Kimataifa

UN yataka migogoro imalizwe

UMOJA wa Mataifa (UN) umeitaka Serikali ya Sudan Kusini na jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua mapema kukomesha kusambaa kwa chuki…

Soma Zaidi »

‘Umoja wa Afrika usaidie kumaliza ugaidi EAC’

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Peter Mathuki, ameutaka Umoja wa Afrika (AU) kuunga mkono Jumuiya hiyo…

Soma Zaidi »

Sudan Kusini yaunga mkono amani DRC

SERIKALI ya Sudan Kusini imeunga mkono mpango wa amani wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa Jamhuri ya…

Soma Zaidi »

Salva Kiir ataka wananchi kuchangamkia kilimo

RAIS Salva Kiir amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika kilimo kwa sababu ndio kazi pekee itakayosaidia kuimarisha maisha yao na kuleta…

Soma Zaidi »

Kipchoge avunja rekodi ya dunia Berlin

MWANARIADHA wa kimataifa wa Kenya, Eliud Kipchoge amevunja rekodi ya dunia ya marathon mjini Berlin ambayo aliiweka miaka minne iliyopita.…

Soma Zaidi »

ASERI KATANGA: Mtanzania aliyetuzwa na Malkia kwa makubwa anayofanya Afrika

‘MCHEZA kwao hutuzwa’ ndio msemo wa Kiswahili unaofaa kumwelezea huyu Mtanzania, Aseri Katanga aliyekaribishwa ndani ya kasri ya Malkia Elizabeth…

Soma Zaidi »

Japan kununua kilo milioni 30 za tumbaku Tanzania

KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI), imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania msimu ujao…

Soma Zaidi »

Tanzania yashiriki mkutano wa ITU PP22

ULIMWENGU Habari na  Teknolojia ya Mawasiliano, unakutana mjini Bucharest, Romania kuanzia leo Septemba 26, 2022 hadi Oktoba 14, 2022, wakati…

Soma Zaidi »

Raia wa Burundi, Uganda waokolewa dhidi ya ulanguzi

RAIA 22 kutoka Burundi na Uganda wameokolewa kutoka katika mashirika yanayofanya biashara na ulanguzi wa binadamu huko Laos, Kusini Mashariki…

Soma Zaidi »

Ndayishimiye: Jumuiya ya Kimataifa isaidie DRC

RAIS Evariste Ndayishimiye ameahidi kwamba nchi yake itaisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupambana na makundi ya waasi katika…

Soma Zaidi »
Back to top button