UMOJA wa Mataifa umethibitisha kuwa umepata kibali kutoka kwa Serikali ya Israel kuruhusu malori takribani 100 yaliyojaa misaada ya kibinadamu…
Soma Zaidi »Kimataifa
WAZIRI Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela
Soma Zaidi »WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amewashutumu viongozi wa Uingereza, Ufaransa na Canada kwa kile alichokiita “kuwapa Hamas zawadi kubwa”…
Soma Zaidi »UMOJA wa Ulaya (EU) umepanga kutoa mkopo wa Euro bilioni 4 kwa ajili ya kuisaidia Misri kukabiliana na changamoto za…
Soma Zaidi »MKUU wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amemteua afisa wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kamil Idris, kuwa…
Soma Zaidi »MAHAKAMA ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeamua kuunga mkono upande wa Guinea ya Ikweta katika mzozo wa muda mrefu na…
Soma Zaidi »GENEVA — Kikao Maalum cha Pili cha Kamati ya Kanda ya Afrika ya WHO kilichofanyika leo Jumapili, Mei 18, 2025…
Soma Zaidi »ISLAMABAD: SERIKALI ya Pakistan imedai kuwa ina ushahidi wa kijasusi na wa kuaminika unaoonesha kuwa India inapanga kuishambulia katika muda…
Soma Zaidi »BAMAKO: WATAALAMU huru wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa mamlaka za Mali kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina…
Soma Zaidi »ROME : IRAN imetangaza kuwa inatarajia kurejea mezani na Marekani kwa mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia, yatakayofanyika mjini Rome,…
Soma Zaidi »









