Kimataifa

Mkutano wa Umoja wa Afrika waanza Addis Ababa, Ethiopia

Mkutano utaendelea na kikao cha faragha ambapo viongozi wapya wa nchi na serikali watatoa maoni yao.

Soma Zaidi »

Uchaguzi AUC 2025: Kapt. Ibrahim, watano wengine kutoshiriki

Burkina Faso iliwahi pia kusimamishwa kwa muda mwaka 2015. Mataifa mengine ni Guinea, Gabon, Niger, Sudan na Mali.

Soma Zaidi »

Uchaguzi wa Uenyekiti wa AUC 2025: Mchuano mkali wa Kikanda

Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 katika duru ya kwanza dhidi ya kura 14 za Moussa Faki,…

Soma Zaidi »

Samia kuongoza ajenda nishati safi AU

RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Ethiopia kushiriki Mkutano wa kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na serikali wa…

Soma Zaidi »

Papa Francis alazwa

VATICAN: KIONGOZI wa Kanisa Katiliki, Papa Francis mwenye umri wa miaka 88, leo Ijumaa Februari 2025, amepelekwa hospitali kwa ajili…

Soma Zaidi »

Ukraine yadai mapema kushiriki mkutano wa amani

WASHINGTON: RAIS wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kwamba Ukraine itashirikishwa katika mazungumzo ya amani na Russia, licha ya kwamba Kyiv…

Soma Zaidi »

Hamas kuwaachia mateka wengine

GAZA, PALESTINA: KUNDI la Hamas linatarajia kuwaachilia mateka wengine Jumamosi hii kama ilivyopangwa katika makubaliano ya usitishaji wa mapigano. Hii…

Soma Zaidi »

Baraza la Usalama AU kujadili mzozo DR Congo

ADDIS ABABA: Mkutano wa kilele wa viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika nchini Ethiopia mwishoni mwa wiki hii utajadili…

Soma Zaidi »

Rais Samia kuhudhuria mkutano AU

Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia leo hado Februari 16, kushiriki…

Soma Zaidi »

Wanafunzi wanaofadhiliwa na USAID wafukuzwa Malawi

MALAWI: VYUO vikuu vya umma nchini Malawi vimeamuru wanafunzi wote wanaofadhiliwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID)…

Soma Zaidi »
Back to top button