Kimataifa

Putin akiri mapungufu vyombo vya usalama Urusi

URUSI : RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amekiri kuwa vyombo vya usalama vya nchi yake vimefanya makosa kufuatia mauaji ya…

Soma Zaidi »

Human rights yailaumu Israel kusitisha huduma ya maji Gaza

GAZA, PALESTINA : SHIRIKA la Human Rights Watch limeilaumu Israel kwa kuzuia usambazaji wa maji katika Ukanda wa Gaza, hatua…

Soma Zaidi »

Wapinzani Msumbiji kuandamana kupinga uchaguzi

MSUMBIJI : WAPINZANI wa Msumbiji wamejipanga kwa maandamano makubwa kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu, ambayo…

Soma Zaidi »

Vifo vya pombe vyaongezeka kwa asilimia 42% Uingereza

UINGEREZA: TAKWIMU zinaonyesha kuwa vifo vinavyosababishwa na unywaji wa pombe vinaongezeka  kwa asilimia 42% nchini Uingereza katika kipindi cha miaka…

Soma Zaidi »

Guinea: Aliyekuwa waziri wa ulinzi ahukumiwa miaka mitano jela

GUINEA: Mahakama nchini Guinea imemhukumu aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Mohamed Diane, kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya rushwa,…

Soma Zaidi »

DR Congo yaanza kampeni za kuwania kiti UN

CONGO: SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imezindua rasmi kampeni yake ya kuwania kiti kisicho cha kudumu katika…

Soma Zaidi »

India yazungumzia amani, usalama BRICS

SHANGHAI : WAZIRI MKUU wa India, Narendra Modi, amethibitisha nafasi muhimu ya India katika uongozi wa kimataifa kupitia mkutano wa…

Soma Zaidi »

Urusi inahaki kutumia silaha za nyuklia

URUSI: RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa Urusi ina haki ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya nchi yoyote…

Soma Zaidi »

Rais Zelensky aomba ushirikiano na Bara la Ulaya

UBELGIJI : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewataka washirika wake wa Ulaya kuendelea kushikamana katika msaada wao kwa Ukraine, hasa…

Soma Zaidi »

Wakimbizi 12 wamefariki Gaza kufuatia shambulio la anga

PALESTINA : TAKRIBAN watu 12 wameuawa na mashambulizi ya anga ya Israel, wengi wao wakiwa wakimbizi waliokuwa wanatafuta hifadhi  katika…

Soma Zaidi »
Back to top button