Kimataifa

Ukraine yalaumiwa kutumia phosphorous katika mashambulizi

URUSI : WIZARA ya Mambo ya Nje ya Urusi imesema Ukraine imekuwa ikitumia kemikali ya sumu aina ya Phosphorous katika…

Soma Zaidi »

Vifo vya kimbunga Chido vyafikia 45

MSUMBIJI : IDADI ya vifo vilivyotokana na kimbunga Chido nchini Msumbiji imeongezeka na kufikia 45, baada ya kimbunga hicho kupiga…

Soma Zaidi »

Uchaguzi huru ufanyike Syria- UN

SYRIA : MJUMBE maalum wa Umoja wa Mataifa Geir Pedersen ametoa wito wa kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki…

Soma Zaidi »

Mchakato wa kisiasa jumuishi uanzishwe

MAREKANI : BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa kuanzishwa kwa mchakato wa kisiasa wa jumuishi nchini…

Soma Zaidi »

Kenya yajipanga kutumia chanjo kwa mifugo

KENYA : RAIS William Ruto amewakejeli wanaopinga mpango wa chanjo ya mifugo uliopangwa kuanza Januari, 2025. Rais Ruto amesema kuwa…

Soma Zaidi »

Baba na mama wa kambo wahukumiwa kifungo cha maisha jela

UINGEREZA : MAHAKAMA moja ya Uingereza imewahukumu maisha  baba na mama wa kambo kwa mauaji ya mtoto wa miaka 10,…

Soma Zaidi »

Watu 25 wafariki baada ya boti kuzama mtoni DR Congo

DR CONGO : ZAIDI ya watu 25 wamepoteza maisha baada ya boti yenye abiria zaidi ya 100 kuzama katika mto…

Soma Zaidi »

Hatma DR Congo Rwanda haijulikani

CONGO : MAZUNGUMZO yaliyopangwa kufanyika Jumapili ya viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumaliza mzozo wa Mashariki…

Soma Zaidi »

Rais Yoon hatarini kuondolewa madarakani Korea Kusini

BUNGE la Korea Kusini leo limepiga kura kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol wa nchi hiyo kufuatia tangazo lake la…

Soma Zaidi »

Guterres aitisha msaada wa kimataifa

MAREKANI : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameziomba nchi tajiri kutimiza ahadi zao ya kuzisaidia nchi masikini…

Soma Zaidi »
Back to top button