Kimataifa

Afghanistan yapiga marufuku matabibu wanawake

MAREKANI  : UMOJA wa Mataifa umeonya  kuwa uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kusomea utabibu kutaharibu hali zaidi  Afghansitan inayokabiliwa…

Soma Zaidi »

Somalia Ethiopia kumaliza mivutano

MAREKANI : SERIKALI ya Marekani imepongeza hatua ya makubaliano yaliyofikiwa na Somalia na Ethiopia ya kumaliza mivutano ya kikanda, iliyochochewa…

Soma Zaidi »

Tshisekedi Kagame kukutana Angola

ANGOLA : RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wanatarajiwa kukutana Jumapili…

Soma Zaidi »

Wagombea Uenyekiti wa Tume ya AU kukutana Addis

ETHIOPIA : WAGOMBEA wa Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika wanatarajiwa kukabiliana leo ana kwa ana katika mdahalo wa…

Soma Zaidi »

Makombora ATACMS yapingwa kupelekwa Ukraine

RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump, amesema hakubaliani na uamuzi wa Marekani wa kutoa makombora ya ATACMS kwa Ukraine, yanayoweza…

Soma Zaidi »

MAREKANI: Azimio la kusitisha mapigano Gaza lapitishwa

MAREKANI : BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha  azimio la kutaka kusitishwa mara moja na bila masharti mapigano katika…

Soma Zaidi »

Bint wa Sierra Leone aokolewa baada ya siku tatu baharini

ITALIA : BINTI mmoja mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni  raia wa Sierra leone ameokolewa katika ajali ya boti…

Soma Zaidi »

Ujerumani , Nigeria kuimarisha uhusiano wa kibiashara

NIGERIA : RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amemwambia Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier kwamba milango ya Nigeria iko wazi katika…

Soma Zaidi »

ICC yaombwa kuchunguza mauaji ya waandishi

UFARANSA : SHIRIKA la kimataifa la Waandishi Habari wasiokuwa na Mipaka, RSF limesema waandishi wa habari 54 wameuawa duniani ambao…

Soma Zaidi »

KOREA KUSINI : Rais Yoon Suk avunja ukimya

KOREA KUSINI : RAIS wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amesema uamuzi wake wa kushtukiza wa kutangaza hali ya hatari…

Soma Zaidi »
Back to top button