Kimataifa

Rwanda Congo wakubaliana kumaliza mivutano

ANGOLA :  JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimeridhia na kusaini waraka maalum wa kuimarisha amani katika eneo linalokabiliwa…

Soma Zaidi »

BRICS inavyozidi kuvutia mataifa Amerika Kusini

KADIRI BRICS inavyozidi kupanua ushawishi wake katika jukwaa la kimataifa, mataifa ya Amerika Kusini yanazidi kutaka kujiunga na kundi hili.…

Soma Zaidi »

Kiongozi upinzani akubali kufanya mazungumzo mtandaoni

MSUMBIJI : KIONGOZI wa upinzani Msumbiji,  Venancio Mondlane amesema atakubali kufanya mazungumzo na Rais Filipe Nyusi kwa njia ya mtandao …

Soma Zaidi »

Waziri mkuu mali avuliwa madaraka

MALI: MKUU wa Jeshi wa Mali Kanali Assimi Goita amemfuta kazi Waziri Mkuu wa kiraia Choguel Kokalla Maiga na serikali…

Soma Zaidi »

Rais Samia asisitiza SADC kumaliza migororo

MWENYEKITI wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais Dk. Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Urusi yazuia azimio la kusitisha vita Sudan

MAREKANI : URUSI yapinga azimio la Umoja wa Mataifa lililopendekeza usitishaji wa vita mara moja nchini Sudan kati ya jeshi…

Soma Zaidi »

Upinzani washinda urais

SOMALILAND : KIONGOZI wa upinzani wa Jimbo la Somaliland, Abdirahman Cirro ameshinda katika uchaguzi wa rais uliofanyika wiki iliyopita. Kwa…

Soma Zaidi »

Novo Nordisk yazindua dawa ya kupunguza uzito

CHINA : KAMPUNI ya Novo Nordisk imezindua dawa ya kupunguza uzito ya Wegovy nchini China baada ya kuidhinishwa na mamlaka…

Soma Zaidi »

Umoja Ulaya kusaidia nchi masikini

AZERBAIJAN: MJUMBE wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia maswala ya mabadiliko ya tabia nchi, Wopke Hoekstra amesema umoja wa ulaya utaendelea…

Soma Zaidi »

Viongozi G20 wataka kusitisha mapigano Gaza

BRAZIL : VIONGOZI wa nchi zilizoendelea Kiuchumi Duniani (G20), wametoa wito wa kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na nchini…

Soma Zaidi »
Back to top button