Kimataifa

Wanajeshi nane israel wauawa

LEBANON : JESHI la Israel limethibitisha wanajeshi wake wanane wameuawa kwenye mapigano yanayoendelea dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah, kusini mwa…

Soma Zaidi »

Biden aliagiza jeshi kusaidia uokoaji Florida

MAREKANI : RAIS wa Marekani amemuru kupelekwa kwa wanajeshi 1,000 kwenye shughuli za uokozi katika jamii zilizoathiriwa na kimbunga Helene…

Soma Zaidi »

Magenge ya uhalifu yaongezeka Haiti

HAITI : ZAIDI ya watu 700,000 wameyakimbia makazi yao nchini Haiti na nusu yao wakiwa ni watoto, kutokana na kuongezeka…

Soma Zaidi »

Uganda kuongeza mtambo wa umeme

UGANDA : Uganda inatafuta ufadhili wa ujenzi wa mitambo mitatu ya kuzalisha umeme wa nyongeza wa maji wa zaidi ya…

Soma Zaidi »

EU, Uingereza kuimarisha uhusiano

BRUSSELS: RAIS wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya,Ursula von der Leyen, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza,…

Soma Zaidi »

UN, Lebanon waomba ufadhili dola mil 426

GENEVA : MSEMAJI wa kuratibu shughuli za wakimbizi  UN, OCHA, Jens Laerke amewaambia waandishi wa habari kuwa Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »

IMF yaiomba Kenya kuchunguza ufisadi

MAREKANI : SHIRIKA la Kimataifa la Fedha, IMF, limetoa ombi maalum kwa serikali ya Kenya kuchunguza madai ya ufisadi na…

Soma Zaidi »

Bunge la Kenya kumjadili Rigathi

KENYA : BUNGE la Kenya limekubali kujadili hoja inayohusu kumuondoa madarakani Makamu wa Rais Rigathi Gachagua kwa madai ya kukiuka…

Soma Zaidi »

Mamia ya watu hawajulikani walipo

MAREKANI  : WAKAZI wa jimbo la North Carolina  Septemba 30  walikabiliana na uharibifu mkubwa kutokana na kimbunga Helene huku mamia…

Soma Zaidi »

Mbivu mbichi kujulikana leo Kenya

KENYA : WABUNGE nchini Kenya wanatazamiwa kuwasilisha hoja ya kumg’oa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua katika bunge la taifa leo…

Soma Zaidi »
Back to top button