Ulaya

Liverpool kukutana na Real Madrid

LIVERPOOL itakuwa na kibarua kigumu kwa mara nyingine baada ya kupangwa na Real Madrid katika hatua ya 16 bora ya…

Soma Zaidi »

Southampton yamfukuza kocha wao Ralph Hasenhüttl

KLABU ya Southampton imemfukuza kocha wao, Ralph Hasenhüttl kutokana na mwenendo usioridhisha baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 4…

Soma Zaidi »

Rais Ukraine kususia mkutano G20

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema hatahudhuria katika kilele cha mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiuchumi (G20) utakaofanyika Novemba 15,2022,…

Soma Zaidi »

Marekani yaihakikishia Ukraine msaada zaidi

MAREKANI imeihakikishia Ukraine juu ya usafirishaji wa mifumo miwili kati ya minane ya ulinzi wa anga ya NASAMS ambayo iliahidi…

Soma Zaidi »

Aponda uchunguzi wa mlipuko Crimea

OFISA wa ngazi ya juu wa Ukraine, ametaja uchunguzi wa Urusi kuhusu mlipuko wa juma lililopita ni “upuuzi. ” Mlipuko…

Soma Zaidi »

Mgomo Total waendelea siku ya Saba

MGOMO katika kampuni ya nishati ya Ufaransa ya TotalEnergies umeendelea kwa siku ya saba, na kutatiza ugavi wa nishati ambao…

Soma Zaidi »

Pauni ya Uingereza yaanza kuimarika 

PAUNI ya Uingereza imeanza kuimarika baada ya serikali kusema kuwa ilikuwa ikifanya marekebisho ya mpango tata wa kupunguza kodi katika…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu Uingereza alazimika kuondoa mpango mpya wa kodi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Liz Truss alilazimika Jumatatu kubadilisha mipango ya kupunguza kiwango cha juu zaidi cha ushuru wa mapato…

Soma Zaidi »

Tanzania yashiriki mkutano wa ITU PP22

ULIMWENGU Habari na  Teknolojia ya Mawasiliano, unakutana mjini Bucharest, Romania kuanzia leo Septemba 26, 2022 hadi Oktoba 14, 2022, wakati…

Soma Zaidi »

Jeneza la Malkia Elizabeth II laelekea ibada ya kifamilia

JENEZA la Malkia Elizabeth II, limeanza safari yake ya mwisho kutoka Westminster Abbey kuelekea Kasri la Windsor kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Back to top button