Ulaya

Mfumuko wa bei wa paa kwa asilimia 11.1 Uingereza

MFUMUKO wa bei nchini Uingereza umepanda hadi asilimia asilimia 11.1 ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1981. Huku mfumuko wa…

Soma Zaidi »

Gary Cahill atangaza kustaafu soka

BEKI wa zamani wa timu ya Taifa ya Uingereza na Chelsea, Gary Cahill ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri…

Soma Zaidi »

Hazard awatuliza Mashabiki Madrid

WINGA wa Real Madrid, Eden Hazard amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwaahidi kuwa muda wa kucheza bado anao na…

Soma Zaidi »

Malipo ya Kombe la Dunia yasaidie wenye uhitaji – Rudiger

BEKI wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia…

Soma Zaidi »

Liverpool kukutana na Real Madrid

LIVERPOOL itakuwa na kibarua kigumu kwa mara nyingine baada ya kupangwa na Real Madrid katika hatua ya 16 bora ya…

Soma Zaidi »

Southampton yamfukuza kocha wao Ralph Hasenhüttl

KLABU ya Southampton imemfukuza kocha wao, Ralph Hasenhüttl kutokana na mwenendo usioridhisha baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 4…

Soma Zaidi »

Rais Ukraine kususia mkutano G20

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema hatahudhuria katika kilele cha mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiuchumi (G20) utakaofanyika Novemba 15,2022,…

Soma Zaidi »

Marekani yaihakikishia Ukraine msaada zaidi

MAREKANI imeihakikishia Ukraine juu ya usafirishaji wa mifumo miwili kati ya minane ya ulinzi wa anga ya NASAMS ambayo iliahidi…

Soma Zaidi »

Aponda uchunguzi wa mlipuko Crimea

OFISA wa ngazi ya juu wa Ukraine, ametaja uchunguzi wa Urusi kuhusu mlipuko wa juma lililopita ni “upuuzi. ” Mlipuko…

Soma Zaidi »

Mgomo Total waendelea siku ya Saba

MGOMO katika kampuni ya nishati ya Ufaransa ya TotalEnergies umeendelea kwa siku ya saba, na kutatiza ugavi wa nishati ambao…

Soma Zaidi »
Back to top button