Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo madini muhimu London

TANZANIA imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya…

Soma Zaidi »

Mavunde aongoza kikao cha kimkakati wa kiuchumi kupitia STAMICO

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limekaa mguu sawa kuhamia kwenye uwekezaji mkubwa wa Madini Muhimu na Madini Mkakati. STAMICO…

Soma Zaidi »

Madini wakusanya zaidi ya bil 902/-

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya…

Soma Zaidi »

Huduma sekta ya madini kuanza kutolewa Mtumba leo

WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema kuanzia leo huduma mbalimbali za Wizara ya Madini zitaanza kutolewa rasmi katika jengo la…

Soma Zaidi »

Wazawa hawimizwa kuchangamkia fursa madini

DAR ES SALAAM: Wazawa waliopo kwenye sekta ya madini wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya madini ili kuchechemua na…

Soma Zaidi »

Nyumba 865 kuunganishwa gesi Mtwara, serikali kugawa mitungi ya ruzuku

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa…

Soma Zaidi »

GGML yaendeleza mapambano dhidi ya rushwa Geita

GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)…

Soma Zaidi »

Mgodi wa Magambazi kuanza kazi Julai

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, ameeleza kuwa Mgodi wa Kati wa Dhahabu wa Magambazi uliopo Wilayani Handeni Mkoa wa Tanga…

Soma Zaidi »

Mavunde kuongoza kongamano la Madini Geita

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde anatarajiwa kuongoza kongamano la wachimbaji wadogo nchini linatalorajiwa kufanyika kitaifa Mei 11, 2025 katika Mamlaka…

Soma Zaidi »

TPDC boresheni vitalu vya gesi na mafuta

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amelielekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza…

Soma Zaidi »
Back to top button