Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mavunde atoa maelekezo 5 kwa Stamico

DODOMA: WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde ametoa maagizo matano kwa Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) ili kuendana na kasi na…

Soma Zaidi »

Serikali yazungumzia bei ya mafuta

SERIKALI imesema ipo katika maandalizi ya kupanga bei linganishi ya mafuta ya dizeli, petroli na taa nchini ili kuondoa tofauti…

Soma Zaidi »

Stamico yatakiwa kujikita kwenye umeme

WAZIRI wa Madini,Anthony Mavunde amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kujikita katika kusaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika kupitia…

Soma Zaidi »

Madini yaridhika na bidhaa zinazozalishwa nchini

TUME ya Madini imejiridhisha kuwa vitu vinavyozalishwa na wawekezaji hapa nchini vina ubora unaotakiwa. Aidha, imeahidi kutoa elimu kwa wenye…

Soma Zaidi »

Gesi asilia kuwafikia Watanzania wote

UNGUJA, Zanzibar: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, Mkakati wa Wizara ya Nishati ni…

Soma Zaidi »

Tanzania kitovu cha uchenjuaji Afrika

RIYADH, Saud Arabia WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema Tanzania imedhamiria kuwa kitovu cha uchenjuaji na uongezeaji thamani madini kwa…

Soma Zaidi »

“Lengo la Serikali ni kuongeza ushiriki wa Watanzania sekta ya madini”

MWANZA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amezitaka Taasisi za fedha kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi(TPSF) na Shirikisho la…

Soma Zaidi »

Watanzania kupewa kipaumbele sekta ya madini

MWANZA: SERIKALI kupitia Tume ya Madini itaendelea kusimamia manunuzi ya bidhaa na huduma kwa kuhakikisha kipaumbele kinatolewa kwa watanzania kwa…

Soma Zaidi »

Wamiliki leseni za madini wapewa maagizo

LINDI: WAMILIKI leseni  za madini nchini wametakiwa  kuziendeleza la sivyo watafutiwa leseni hizo kwa mujibu wa sheria. Hayo yamesemwa na…

Soma Zaidi »

Kampuni ya madini yawakumbuka waathirika mafuriko Simanjiro

KAMPUNI ya Franone Mining and Games inayojishughulisha na uchimbaji madini ya Tanzanite imeungana na Serikali kuchangia mahitaji mbalimbali ya chakula na vifaa…

Soma Zaidi »
Back to top button