Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ronaldo waajabu akataa tuta.

CRISTIANO Ronaldo ameonesha uungwana kwa kukataa penalty aliyopewa na mwamuzi baada ya kujiangusha eneo la hatari katika mchezo wa Ligi…

Soma Zaidi »

Makocha 21 wapigwa msasa Arusha

ARUSHA: Jumla ya makocha 21 wa kandanda wamemaliza kozi  ya awali yaani ‘Grassroots’ kwa ajili ya kufundisha vijana na watoto.…

Soma Zaidi »

Mwakinyo huru tena

DAR ES SALAAM: KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) imemrejeshea uhuru bondia, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ baada ya kuwa kifungoni…

Soma Zaidi »

Wasanii kujiheshimu ndio kila kitu

DAR ES SALAAM: Wasanii nchini wametakiwa kujiheshimu ili kulinda na kutunza utu na majina yao kwa vizazi vyao vya sasa…

Soma Zaidi »

Unai atia ugumu Douglas kutua Arsenal

DOUGLAS Luis ni miongoni mwa viungo wanaowindwa na Arsenal, lakini Aston Villa inaonekana haitaki kumuuza Mbrazil huyo. Kocha wa Aston…

Soma Zaidi »

Ukurasa mpya mitaa ya Msimbazi

DAR ES SALAAM; Vikao vimeendelea kutawala ndani ya Klabu ya Simba kutokana na matokeo yasiyoridhisha ndani ya timu hiyo. Novemba…

Soma Zaidi »

Reece James aomba radhi

BEKI wa Chelsea, Reece James ameomba radhi kwa makosa mawili aliyofanya na kupelekea kupewa kadi nyekundu katika mchezo waliopoteza mabao…

Soma Zaidi »

Tanzania yachomoza kimataifa kuogolea

KIGALI; Rwanda, TIMU ya Taifa ya kuogelea ya Tanzania imeshika nafasi ya pili katika mashindano ya 8 Kanda ya Tatu…

Soma Zaidi »

Mnyama kifua mbele kwa Mkapa

DAR ES SALAAM: Miamba ya kandanda nchini ,Simba leo watatupa karata yao ya kwanza kwenye hatua ya makundi ya michuano…

Soma Zaidi »

Yanga yakutana na kipigo Algeria

YANGA imekubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa CR Belouizdad katika mchezo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa usiku…

Soma Zaidi »
Back to top button