Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kivumbi tuzo za filamu 2023

DAR ES SALAAM: Bodi ya Filamu imetangaza rasmi washindi waliofanikiwa kuingia katika vinyang’anyiro mbalimbali vya tuzo za filamu mwaka 2023…

Soma Zaidi »

Dulla Mbabe kulipa kisasi kesho?

ARUSHA; Mabondia, Abdallah Pazi maarufu Dulla Mbabe kutoka Tanzania na Erick Katompa kutoka DR Congo wamepima uzito tayari kwa pambano…

Soma Zaidi »

Nchi 12 kusaka heshima michuano ya Gofu Arusha

ARUSHA: WACHEZAJI 220 kutoka nchi 12 Duniani wanashiriki mashindano ya gofu yanayofanyika katika Viwanja vya Kili gofu vilivyopo wilayani Arumeru…

Soma Zaidi »

Banana Zorro kufunga Bongo Fleva Honors leo usiku

DAR ES SALAAM; MSIMU wa kwanza wa onyesho la wasanii wakongwe linalofahamika kama Bongo Fleva Honors linahitimishwa usiku wa leo…

Soma Zaidi »

Yanga kuendeleza ubabe?

ALGERIA: Kikosi cha Yanga leo kinatupa karata yake ya kwanza kwenye hatua ya makundi Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Soma Zaidi »

Dk Ndumbaro afungua NCBA Tanzania Open 2023

ARUSHA: Waziri wa Utamaduni Sanaa Na Michezo, Damas Ndumbaro amefungua rasmi Mashindano ya Kimataifa ya “NCBA Tanzania Open 2023″ya mchezo…

Soma Zaidi »

‘JB’: Bongo Movie ya sasa sio ya jana

DAR ES SALAAM: NYOTA wa kiwanda cha filamu nchini, Jacob Steven, ‘JB’ amesema sanaa ya filamu na tamthilia kwa sasa…

Soma Zaidi »

“Usiseme huwezi kutengeneza shepu, pesa unayo?”- Irene Paul

DAR ES SALAAM: NYOTA wa ‘Bongo Movie’ Irene Paul amesema kuwa mtu anayesema hawezi kutengeneza shepu hana pesa ukiwanazo utatengeneza…

Soma Zaidi »

Simba wafungiwa usajili malipo ya Sakho

BREAKING: Simba SC imefungiwa kufanya usajili hadi pale itakapoilipa timu ya Teungueth aliyokuwa akichezea kiungo Pape Ousmane Sakho. – Taarifa…

Soma Zaidi »

Gofu Dodoma? Ondoa shaka uwanja unajengwa

SERIKALI imepanga kujenga uwanja mpya wa kimatafa wa gofu katika eneo la Chamwino jijini Dodoma. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na…

Soma Zaidi »
Back to top button