Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mwakinyo huru tena

DAR ES SALAAM: KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) imemrejeshea uhuru bondia, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ baada ya kuwa kifungoni…

Soma Zaidi »

Wasanii kujiheshimu ndio kila kitu

DAR ES SALAAM: Wasanii nchini wametakiwa kujiheshimu ili kulinda na kutunza utu na majina yao kwa vizazi vyao vya sasa…

Soma Zaidi »

Unai atia ugumu Douglas kutua Arsenal

DOUGLAS Luis ni miongoni mwa viungo wanaowindwa na Arsenal, lakini Aston Villa inaonekana haitaki kumuuza Mbrazil huyo. Kocha wa Aston…

Soma Zaidi »

Ukurasa mpya mitaa ya Msimbazi

DAR ES SALAAM; Vikao vimeendelea kutawala ndani ya Klabu ya Simba kutokana na matokeo yasiyoridhisha ndani ya timu hiyo. Novemba…

Soma Zaidi »

Reece James aomba radhi

BEKI wa Chelsea, Reece James ameomba radhi kwa makosa mawili aliyofanya na kupelekea kupewa kadi nyekundu katika mchezo waliopoteza mabao…

Soma Zaidi »

Tanzania yachomoza kimataifa kuogolea

KIGALI; Rwanda, TIMU ya Taifa ya kuogelea ya Tanzania imeshika nafasi ya pili katika mashindano ya 8 Kanda ya Tatu…

Soma Zaidi »

Mnyama kifua mbele kwa Mkapa

DAR ES SALAAM: Miamba ya kandanda nchini ,Simba leo watatupa karata yao ya kwanza kwenye hatua ya makundi ya michuano…

Soma Zaidi »

Yanga yakutana na kipigo Algeria

YANGA imekubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa CR Belouizdad katika mchezo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa usiku…

Soma Zaidi »

HT: Yanga mlima mrefu kuupanda

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kati ya CR Belouizdad na Yanga umeenda mapumziko Yanga ikiwa nyuma mabao 2-0. – Yanga…

Soma Zaidi »

Kocha wa makombe atua Simba SC

SIMBA SC imemtangaza Abdelhak Benchikha raia wa Algeria kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo akichukuwa nafasi ya Roberto Oliveira ‘Robertinho’.…

Soma Zaidi »
Back to top button