Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Obby Alpha: โ€œDunia Bila Watu Haina Ladhaโ€

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini, Obby Alpha, amesema kuwa hata mtu akiwa na utajiri au mali nyingi, dunia inaweza…

Soma Zaidi ยป

Vita ya Pacome, Feisal, Ahoua yaahirishwa

DAR ES SALAAM; TUZO za TFF msimu wa mwaka 2024/25 zilizokuwa zifanyike Desemba 5, mwaka huu zimeahirishwa. Taarifa iliyosainiwa na…

Soma Zaidi ยป

Tanzania yang’ara fainali futsal Ufilipino

UFILIPINO; TIMU ya taifa ya wanawake ya mchezo wa futsal leo Novemba 26, 2025 imepata ushindi wake wa kwanza kwenye…

Soma Zaidi ยป

Hasheem Thabit: Mchezo ulikuwa mgumu

DAR ES SALAAM: NAHODHA wa Timu ya Basketball ya Dar City, Hasheem Thabit, amesema mashindano waliyoshiriki nchini Kenya yalikuwa na…

Soma Zaidi ยป

Ni vita Tuzo ya Mchezaji Bora

DAR ES SALAAM; SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza wachezaji watano watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi…

Soma Zaidi ยป

Tanzania kamili Manila Kombe la Dunia Futsal

TIMU ya Soka ya Taifa ya mpira wa Futsal imewasili salama mjini Manila, Ufilipino juzi, tayari kwa michuano ya fainali…

Soma Zaidi ยป

Mzize atwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka CAF

MOROCCO; MSHAMBULIAJI wa Yanga ya Dar es Salaam, Clement Mzize ametwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka inayotolewa na Shirikisho…

Soma Zaidi ยป

Kopa: Msiangalie mabaya ya wasanii tu

DAR ES SALAAM:MSANII nguli wa muziki wa taarabu nchini, Khadija Kopa, amewataka watengeneza maudhui na wanahabari wa mitandaoni kuacha kuangazia…

Soma Zaidi ยป

Dk. Mwinyi akagua ujenzi ‘Sports City’ Fumba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa…

Soma Zaidi ยป

Mabondia wajiandae kwa ndondi za Dubai

TIMU ya Taifa ya Ngumi za Ridhaa inatarajia kushiriki mashindano ya ngumi ya dunia yatakayofanyika Dubai, Falme za Kiarabu mwezi…

Soma Zaidi ยป
Back to top button