Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kikeke kusherehesha tamasha la Simba

KUELEKEA Kilele cha Siku ya Simba Agosti 6,2023 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Klabu hiyo imethibitisha kuwa Mshereheshaji namba moja…

Soma Zaidi »

United kumtambulisha Hojlund kesho

BAADA ya kukamilisha taratibu zote, ikiwemo vipimo vya afya na kusaini mkataba, Manchester United imepanga kumtambulisha Rasmus Højlund kuwa mshambuliaji…

Soma Zaidi »

Josko kutua City

BEKI wa RB Leipzig, Joško Gvardiol leo atafanyiwa vipimo vya afya jijini Manchester tayari kwa ajili ya kujiunga na City.…

Soma Zaidi »

Arsenal yapeleka £23m kwa Raya

ARSENAL sasa imewasilisha ofa rasmi ya pauni 20 na nyongeza ya pauni 3 kwa ajili ya kuinasa saini ya kipa…

Soma Zaidi »

NHC kutoa ekari 12 uwanja wa michezo Kawe

EKARI zaidi ya 12 zitakabidhiwa na Shirika la Nyumba la Taifa la (NHC) kwa serikali kwa ajili ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »

‘Mike’ aliyorusha Card B yapigwa mnada

KAMA utakumbuka wiki iliyopita rapa kutoka Marekani Card B alimrushia shabiki mmoja ‘Microphone’ baada ya shabiki huyo kufanya kitu ambacho…

Soma Zaidi »

 Jesus aumia tena

KWA mara nyingine Arsenal imekutana na pigo, baada ya taarifa za kuumia mshambuliaji wao Gabriel Jesus. Kocha klabu hiyo, Mikel…

Soma Zaidi »

Hojlund akamilisha vipimo vya afya United

Mshambuliaji Rasmus Hojlund amekamilisha vipimo vya afya jana na sehemu ya kwanza ya utambulisho kama mchezaji mpya wa Manchester United…

Soma Zaidi »

Dk Kijaji: Siwezi kuwakwamisha wawekezaji

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk, Ashatu Kijaji amesema hayupo tayari kuwakwamisha wafanyabiashara na wawekezaji kufikia malengo yao pamoja na…

Soma Zaidi »

Buffon astaafu soka

BREAKING: Goli kipa mkongwe raia wa Italia, Gianluigi Buffon amestaafu soka, kwa mujibu wa Fabrizio Romano Buffon atatangaza rasmi siku…

Soma Zaidi »
Back to top button