Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Namibia mabingwa kombe la dunia kriketi

NAMIBIA wameibuka mabingwa katika mashindano ya kriketi ya kufuzu Kombe la dunia kwa nchi za Afrika kwa wanaume chini ya…

Soma Zaidi »

Mane kufanyiwa vipimo leo

MSHAMBULIAJI Sadio Mane anatarajia kufanyiwa vipimo vya afya leo kabla ya kusaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Al-Nassr akitokea Bayern…

Soma Zaidi »

Suarez kumfuata Messi

UMESIKIA huko? Uswahiba wa Lionel Messi na Luis Suarez unaendelea kudhihirika baada ya taarifa kuwa Suarez anafikiria kuvunja mkataba na…

Soma Zaidi »

Mayele rasmi Pyramids

KLABU ya Pyramids imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji, Fiston Mayele kutoka Young Africans. Mayele alisajiliwa na Yanga mwaka 2021 akitokea…

Soma Zaidi »

Muhimbili imekidhi vigezo AFCON 2027

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imefuzu kuwa na uwezo wa kushughulikia dharura za kiafya zinazoweza kujitokeza katika michuano ya  Fainali…

Soma Zaidi »

Kiduku, Mandonga kilio

UMEKUWA usiku wa machungu kwa wapenzi wa ndondi nchini baada ya bondia Twaha ‘Kiduku’ kupigwa na mpinzani wake kutoka Afrika…

Soma Zaidi »

Bangala atambulishwa Chamazi

BAADA ya muda mchache uliopita Yanga kutoa taarifa ya kuagana na Bangala, hatimaye Azam FC imemtambulisha rasmi mchezaji huyo na…

Soma Zaidi »

Yanga: Asante Bangala

SIO tetesi tena Yanga imeagana na kiungo Yannick Bangala ambaye muda wowote atatambulishwa Azam FC. Taarifa iliyotolewa na Yanga leo…

Soma Zaidi »

Bangala huyoo Azam

TETESI zinaeleza Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo Yannick Bangala kutoka Young Africans. Imeelezwa uhamisho huo ni baada ya Yanga…

Soma Zaidi »

Mane kumfuata Ronaldo Al Nassr?

KLABU Al Nasrr ya Saudi Arabia  inaelezwa ipo mbioni  kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji  Sadio Mane kutoka  Bayern Munich ya Ujerumani…

Soma Zaidi »
Back to top button