Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Infantino yupo Fifa hadi mwaka 2027

RAIS wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) Gianni Infantino amechaguliwa tena kuongoza shirikisho hilo hadi mwaka 2027 katika kongamano la…

Soma Zaidi »

Burna Boy kutumbuiza fainali Uefa

MSANII wa Nigeria ‘Burna Boy’ amechaguliwa kutumbuiza kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya msimu huu utakaopigwa…

Soma Zaidi »

Mfaume, Pialali kurudiana Sept.1

Mabondia wawili mahasimu, Iddy Pialali na Mfaume Mfaume leo wamesaini mkataba wa kurudiwa kwa pambano lao linalotarajiwa kufanyika Septemba Mosi,…

Soma Zaidi »

Lokassa Ya M’Bongo afariki dunia

MKONGWE wa kupiga gitaa la rhythm kutoka nchini DR Congo, Lokassa Kasia Dennis maarufu Ya M’Bongo  au Ya Mbongo amefariki…

Soma Zaidi »

Chama mchezaji bora wa wiki Caf

KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama amechaguliwa na Shirikisho la Soka Afrika CAF, kuwa mchezaji bora wa wiki wa Klabu…

Soma Zaidi »

Bodaboda kusaidia vita ukatili wa kijinsia

VIJANA waendesha pikipiki za abiria (bodaboda) wilayani Geita wamesisitizwa kuwa mawakala wa haki na usawa wa kijinsia kwa kushiriki ulinzi…

Soma Zaidi »

Baleke apiga ‘hat-trick ya kwanza

STRAIKA wa Simba SC, Jean Baleke amefunga ‘Hat-trick’ yake ya kwanza katika mchezo wa ligi kuu ulioisha kwa timu hiyo…

Soma Zaidi »

Bournemouth yaiduwaza Liverpool

LIVERPOOL imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Bournmouth katika mchezo wa kwanza wa EPL ulioisha hivi punde Uwanja wa…

Soma Zaidi »

Mayele awashukuru Yanga kumuamini

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele ameushukuru uongozi wa timu hiyo pamoja na benchi la ufundi kwa kumuamini na kumpa nafasi…

Soma Zaidi »

Wahamiaji haramu mbaroni wakijifanya wachezaji Coastal

JESHI la Uhamiaji Mkoa wa Tanga, limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu wanne raia wa Cameroon, ambao wamedai wapo nchini  kwa ajili…

Soma Zaidi »
Back to top button