Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kilimanjaro ya Sweden yaibuka kidedea

ANTWERP,UBELIGIJI : TIMU ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa…

Soma Zaidi »

Watumishi TSN walivyojinafasi CRDB International Marathon

DAR ES SALAAM: WATUMISHI wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Asha Dachi ni miongoni mwa…

Soma Zaidi »

Raha zaidi kuleee Robo Fainali

DAR ES SALAAM; TIMU ya Taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imemaliza mechi zake za makundi fainali za CHAN…

Soma Zaidi »

Serikali yaihudumia Stars asilimia 100

TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), amesema timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa miguu…

Soma Zaidi »

Karia: Asanteni, chuma kimepita kwenye moto

TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amewashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa shirikisho hilo…

Soma Zaidi »

Karia amteua Nyamlani Makamu wa Rais TFF

TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza…

Soma Zaidi »

SALUM SUED ‘KUSI’ aitabiria ubingwa Taifa Stars CHAN

SALUM Sued maarufu kama ‘Kusi’ ni mmoja wa mabeki bora wa kati Tanzania ilibahatika kuwa nao hasa baada ya kizazi…

Soma Zaidi »

Karia athibitishwa urais TFF hadi 2029

TANGA; MKUTANO Mkuu wa Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), asubuhi hii umemthibitisha Wallace Karia kuwa Rais…

Soma Zaidi »

Lulu balozi mpya wa Lumina

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Lumina Skin, inayojihusisha na bidhaa za ngozi, imemtangaza muigizaji maarufu Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa balozi…

Soma Zaidi »

Mgombea urais SRT awapa tahadhari wajumbe

ARUSHA: MGOMBEA wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), Baraka Sulus amewaambia wajumbe wa Mkutano…

Soma Zaidi »
Back to top button