Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Twende Butiama sasa ni Nyerere Cycling Tour

DAR ES SALAAM: Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama umepewa jina jipya la Nyerere Cycling Tour, katika hatua inayolenga kuenzi…

Soma Zaidi »

Trey Songz kutua Dar kesho

DAR ES SALAAM: Mwimbaji maarufu wa Marekani, Trey Songz, anatarajiwa kuwasili Tanzania kesho, Agosti 12, 2026  kutumbuiza katika tamasha la…

Soma Zaidi »

Mabingwa mbio za baiskeli kufanyika Agosti 30

DAR ES SALAAM: CHAMA cha Baiskeli Mkoa wa Dar es Salaam (CHABADA), kimeandaa mashindano ya mkoa Agosti 30, 2026, ikiwa…

Soma Zaidi »

Sh Milioni 120 zatengwa zawadi CRDB Marathon

DAR ES SALAAM:  BENKI ya CRDB imetenga zaidi ya Sh milioni 120 kwa washindi wa mbio za marathon zitakazofanyika Agosti…

Soma Zaidi »

Kamachumu Stars bingwa kombe la Mwijage

KAGERA: Timu ya Kamachumu Stars imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao…

Soma Zaidi »

VG Marathon 2027 kupigwa kilometa 21

DAR ES SALAAM: Mbio za VG Fun Run 2026 zimefanyika kwa shamrashamra na mwitikio mkubwa wa washiriki, huku mamia ya…

Soma Zaidi »

Watu 250+ kushiriki mbio za VG Fun Run kesho Dar

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya washiriki 250 wanatarajiwa kujitokeza katika mbio za Victoria Group (VG) Fun Run 2026, zitakazofanyika kwa…

Soma Zaidi »

Bendera ya Taifa ilinipa nguvu Scotland

MUOGELEAJI wa Tanzania, Collins Saliboko, amesema kuona bendera ya Taifa ikipepea kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola kulimpa hamasa kubwa…

Soma Zaidi »

Mkwasa: Amani ni ushindi mkubwa kwa Watanzania

DAR ES SALAAM:  NYOTA wa zamani wa Yanga ya Dar es Salaam na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’…

Soma Zaidi »

Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa AFCON 2027

DAR ES SALAAM; Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza fursa 12 zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji mwenza wa Mashindano…

Soma Zaidi »
Back to top button