Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kayoko kusimamia sheria 17 dabi Kariakoo

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza Ramadhan Kayoko kuwa refa atakayechezesha mchezo kati ya Simba na Yanga kesho. Kayoko…

Soma Zaidi »

Jahazi la JKT lazidi kuzama kikapu Afrika

MWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kufuzu klabu bingwa Ligi ya Kikapu Afrika (BAL) timu ya JKT imepoteza mchezo wa…

Soma Zaidi »

Mabingwa Betika watambiana dabi ya Kariakoo

WAKATI mashabiki, wadau na wapenda soka nchini wakihesabu saa kadhaa kuelekea dabi ya watani wa jadi Simba na Yanga, washindi…

Soma Zaidi »

Ngorongoro Heroes kibabe dhidi ya Uganda leo

TIMU ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 inashuka dimbani leo dhidi ya Uganda katika mchezo wa nusu fainali…

Soma Zaidi »

Patashika Ligi Kuu kurejea leo

MICHEZO ya Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea leo baada ya kusimama kupisha mechi za kimataifa ambapo viwanja vitatu vitawaka moto.…

Soma Zaidi »

JKT yaanza vibaya michuano ya Afrika

TIMU ya mpira wa kikapu ya JKT imeanza vibaya michuano ya kufuzu klabu bingwa Afrika (BAL) kanda ya Mashariki baada…

Soma Zaidi »

Akili ya Arsenal bado ipo kwa Benjamin Sesko

KWA mujibu wa tetesi za usajili Arsenal-The Gunners, inaendelea kufuatilia maendeleo ya mshambuliaji wa RB Leipzig na Slovenia, Benjamin Sesko,…

Soma Zaidi »

JKT imeanza vibaya michuano ya Afrika

JKT imeanza vibaya michuano ya kufuzu klabu bingwa Afrika (BAL) kanda ya Mashariki baada ya kukubali kichapo cha vikapu 83-60…

Soma Zaidi »

Minziro Kocha Mkuu mpya Pamba Jiji

KLABU ya Pamba Jiji imemteua Fred Felix ‘Minziro’ kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo. Taarifa ya Pamba Jiji iliyotolewa leo…

Soma Zaidi »

Tuchel Kocha Mkuu mpya England

THOMAS Tuchel amethibitishwa kuwa kocha mpya wa kudumu wa England akilamba mkataba wa miezi 18. Chama cha Soka England(FA) kimekuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button