Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Viwanja 3 kuwaka moto Ligi Kuu leo

BURUDANI kwa wapenda soka inaendelea leo kwa michezo 3 ya Ligi Kuu Tanzania Bara kupigwa viwanja tofauti. Wanamsimbazi, Simba itaikaribisha…

Soma Zaidi »

Makocha Simba, Coastal wategana

WAKATI muda wa kipute cha Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Coastal Union ukikaribia, makocha wa timu hizo…

Soma Zaidi »

Miamba Ulaya yawania saini ya Florian Wirtz

TETESI za usajaili barani Ulaya zinasema Arsenal, Bayern Munich, Manchester City na Real Madrid zinashindania kumsajili kiungo mjerumani Florian Wirtz…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam dimbani viwanja tofauti Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi, huku leo viwanja vitatu vikitarajiwa kuwaka moto. Bingwa mtetezi Yanga itakuwa uwanja Azam…

Soma Zaidi »

Nandy kushindana na Alade, Tiwa AEAUSA

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga ‘Nandy’ ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) katika kipengele…

Soma Zaidi »

Barcelona yamsajili Wojciech Szczęsny

KLABU ya Barcelona na Wojciech Szczęsny wamefikia makubaliano golikipa huyo kujiunga na timu hiyo hadi Juni 30, 2025. Barcelona imetangaza…

Soma Zaidi »

Gamondi: Wanaojiuliza maswali watapata majibu

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema anaridhishwa na kiwango cha wachezaji wake inagawa kuna nyakati mambo hayaendi sawa lakini…

Soma Zaidi »

Mashtaka mapya yamkabili Diddy

MAREKANI : ZAIDI ya watu 100 wanatarajiwa kumshtaki mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na…

Soma Zaidi »

Kivumbi nusu fainali Ngao ya Jamii wanawake

NUSU fainali mbili za Ngao ya Jamii wanawake zinapigwa leo ikiwemo kati ya Simba Queens na Yanga Princess. Mechi hizo…

Soma Zaidi »

Simone Inzaghi ‘kumrithi’ Ten Hag

TETESI za usajili barani Ulaya zinasema Manchester United ina nia kumuajiri kocha wa Inter, Simone Inzaghi iwapo klabu hiyo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button