Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Yanga yapewa Vital’O, Azam kuivaa APR

KLABU ya Yanga imepangwa kucheza na Vital’O FC ya Burundi katika hatua ya kwanza ‘Preliminary’ ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Soma Zaidi »

Twiga Stars dimbani kombe la Wanawake Tunisia 2024 leo

TIMU ya taifa ya mpira wa wa miguu kwa Wanawake(Twiga Stars) inashuka dimbani leo kuikabili Tunisia katika mchezo wa Kombe…

Soma Zaidi »

John Bocco aibukia JKT Tanzania

KLABU ya JKT Tanzania imetangaza kumsajili mkongwe John Bocco kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa mkataba wa mwaka mmoja.…

Soma Zaidi »

Hersi: Aziz Ki anabaki

DAR ES SALAAM; RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema ana matumaini makubwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Stephan Aziz Ki…

Soma Zaidi »

Vigezo ufunguzi, fainali Afcon 2027 vyatajwa

DAR ES SALAAM; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameweka wazi vigezo vitakavyotumika kuchagua nchi…

Soma Zaidi »

Nani kuwafuata ‘Gen Z’ fainali Euro 2024?

BAADA ya kikosi cha timu ya taifa ya Hispania chenye vijana wengi ‘Gen Z’ kutinga fainali ya Kombe la Mataifa…

Soma Zaidi »

Ni Hispania au Ufaransa kutinga fainali EURO 2024?

NUSU fainali ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO2024) kati ya Hispania na Ufaransa inafanyika leo huko Ujerumani. Mchezo…

Soma Zaidi »

Wachezaji Yanga wapimwa afya

DAR ES SALAAM; Baadhi wa wachezaji wa Yanga wakipimwa afya Dar es Salaam leo, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu…

Soma Zaidi »

Yanga kuwania Kombe Sauzi

AFRIKA KUSINI; Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, imealikwa kushiriki michuano ya Toyota 2024 nchini Afrika Kusini, ambapo itacheza…

Soma Zaidi »

Simba haoo kambini Misri

DAR ES SALAAM; Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button