Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Villa yaunga tela kuwania saini ya Nico Williams

TETESI za usajili zinasema Aston Villa ipo tayari kushindana na Barcelona na Chelsea kumsajili mchezaji nyota wa Hispania Nico Williams,…

Soma Zaidi »

Hamisa: Nilimshauri Aziz Ki asiondoke

DAR ES SALAAM; Baada ya Hamisa Mobetto kuhusishwa na nyota wa Yanga, Azizi Ki, mwanamitindo huyo amevunja ukimya juu ya…

Soma Zaidi »

Nani kurithi mikoba ya Gareth Southgate?

BAADA ya mechi 102 katika kipindi cha miaka minane, Gareth Southgate amejiuzulu kama kocha wa timu ya taifa ya England…

Soma Zaidi »

Chama, Dube, Abuya kunufaisha serikali mil 8/-

UHAMISHO wa wachezaji wa kimataifa wa Yanga, Cleatus Chama, Prince Dube na Duke Abuya utainufaisha serikali mamilioni ya fedha. Ada…

Soma Zaidi »

Rais wa Shirikisho la Soka Colombia akamatwa

RAIS wa Shrikisho la Mpira wa Miguu Colombia(FCF), Ramón Jesurún, na mtoto wake wamekamatwa baada ya kutokea ugomvi wakati wa…

Soma Zaidi »

Bado vibali tu, VAR kutumika Ligi Kuu

DAR ES SALAAM: RAIS wa Shirikisho la mpira wa miguu la Tanzania (TFF), Walace Karia amesema Teknolojia ya Usaidizi wa…

Soma Zaidi »

‘Wasiotimiza vigezo vya uwanja bora, wawekeni pembeni’

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kutoa masharti kwa klabu zinazomiliki…

Soma Zaidi »

Wapinzani wa Yanga, Simba, Azam hawa hapa

CAIRO, MISRI; Mabingwa wa tanzania Yanga, wamepangwa kuvaana na Vital’O FC ya Burundi kwenye mchezo wa awali Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »

Simba kucheza na mshindi mechi ya Uhamiaji

CAIRO, Misri:KLABU ya Simba SC imepangwa kukutana na Uhamiaji FC ya Zanzibar au mshindi wa Kombe la FA nchini Libya…

Soma Zaidi »

Man United yapanga kumuuza Sancho kwa vigogo

TETESI za usajili zinasema Manchester United imetoa ofa kwa Jadon Sancho kumpeleka Atletico Madrid, Napoli na PSG ili asajiliwe. Winga huyo…

Soma Zaidi »
Back to top button