Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Taasisi ya Mandela yazindua kituo mafunzo kidijitali

TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua kituo cha elimu kwa njia ya kidigitali (C-CoDE)  ambacho…

Soma Zaidi »

Wanafunzi msingi wafundishwa kutengeneza ndege

ZAIDI ya wanafunzi 150 kutoka shule tatu za msingi za Twiga, Moringe na Sokoine zilizopo jijini Dar es Salaam wamefundishwa…

Soma Zaidi »

Takukuru kutafiti akili bandia mifumo manunuzi

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inafanya utafiti wa kutumia akili bandia ili kuongeza uwazi na uwajibikaji katika…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuendeleza vijana wabunifu wa kisayansi

SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi Tanzania (YST) limetoa wito kwa wadau ikiwemo sekta binafsi kujitokeza kuendeleza vijana ambao wamebuni kazi za…

Soma Zaidi »

NASA kujenga nyumba mwezini

HUENDA ifikapo mwaka 2040 Dunia ikashuhudia baadhi wa watu wakiishi mwezini. Hii ni mipango ambayo inaendelea kusukwa na Shirika la…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 50 kuimarisha miundombinu ya mawasiliano

SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 50 na muungano wa kampuni za huduma za mawasiliano kwa ajili ya kuimarisha miundombinu…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi asisitiza umuhimu wa sayansi na Teknolojia

CUBA:Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Sayansi,Teknolojia na Ubunifu ni mambo muhimu…

Soma Zaidi »

Apple kuboresha iPhone 12 Ufaransa

KAMPUNI ya Kielektroniki ya Apple inakusudia kuboresha simu aina ya iPhone 12 nchini Ufaransa, baada ya hofu kuhusu mionzi, Waziri wa…

Soma Zaidi »

Mwanza na mikakati ya uwanja wa ndege wa Kimataifa

MWANZA:Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema Serikali ina Mkakakati wa kuufanya uwanja wa Ndege wa Mwanza kuwa wa…

Soma Zaidi »

Maji yamepungua mabwawa yanayozalisha Umeme

MOROGORO Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Maharage Chande amewaomba watanzania kuombea nchi ipate mvua za haraka ili…

Soma Zaidi »
Back to top button