Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Teknolojia ilivyowarahisishia wakulima shughuli zao

SAYANSI na Teknolojia imewawezesha wakulima kuondoka kwenye mfumo wa kizamani wa kunyunyizia viuatilifu kwa mabomba ya kubeba mgongoni hadi utumiaji…

Soma Zaidi »

TTCL kuimarisha usalama sekta ya mawasiliano

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema litahakikisha linakuwa lango la usalama wa kitaifa wa kielektroniki kwa kuimarisha usalama wa sekta…

Soma Zaidi »

EAC yatumia akili bandia changamoto za muhogo

TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizofaidika na teknolojia ya akili bandia katika kutambua magonjwa…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 1 kutumika kwenye tafiti

SERIKALI kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi…

Soma Zaidi »

Serikali yajiimarisha intaneti maeneo ya umma

KATIKA kuhakikisha huduma za mawasiliano zinasambaa nchini, serikali inakusudia kuimarisha huduma za hizo kwa kuweka mtandao wa Intaneti bure (WIFI)…

Soma Zaidi »

Ujenzi wa mfumo wakusaidia mtiririko mzuri wa utendaji kazi waanza

UJENZI wa mfumo wa kieletroniki wa utendaji kazi za mapitio, tathmini na utafiti wa sheria mbalimbali za Tanzania Bara umeanza.…

Soma Zaidi »

Wilaya 139 kufikiwa na Mkongo wa Taifa

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania( TTCL) limedhamiria kufanya maboresho makubwa katika sekta ya mawasiliano ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya…

Soma Zaidi »

Wazindua maabara nishati ya jua Shule ya Sekondari

KAMPUNI ya Usimamizi wa Nishati, Schneider Electric imezindua maabara ya nishati ya jua katika Shule ya Sekondari Sisters of Mary…

Soma Zaidi »

TTCL yaanza kuweka intaneti majumbani, maeneo ya wazi

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeanza kujidhatiti kupamba na mabadiliko ya kiuchumi ya kidigitali duniani kwa kuanza kutoa huduma ya…

Soma Zaidi »

Ni uwekezaji mkubwa Afrika

MKONGO wa Mawasiliano wa Baharini (Submarine Cable) wa 2 Afrika na Teknolojia ya Mawasiliano ya kasi ya 5G ya Airtel…

Soma Zaidi »
Back to top button