Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kusambaza taarifa za uongo faini Sh mil 5.8

Kichakataji cha malipo – PayPal kimewaonya watumiaji kuwa kueneza habari potofu kutakuwa kosa linalostahili adhabu chini ya sheria na masharti…

Soma Zaidi »

‘Hakikisheni Tanzania inaongoza kwenye Tehama’

SERIKALI imeitaka Tume ya Tehama nchini, kuhakikisha Tanzania inaongoza kwenye Tehama katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ili…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara uchaguzi Baraza la ITU

TANZANIA imechaguliwa miongoni mwa nchi 48, kati ya nchi 193 wanachama wa ITU kuwa katika Baraza la Shirika la Mawasiliano…

Soma Zaidi »

Tanzania njia nyeupe mabadiliko endelevu ya kidijitali

Tanzania inatekeleza mfumo wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali ambao utahakikisha sekta zote za uchumi zinatumia Teknolojia ya Habari na…

Soma Zaidi »

ASERI KATANGA: Mtanzania aliyetuzwa na Malkia kwa makubwa anayofanya Afrika

‘MCHEZA kwao hutuzwa’ ndio msemo wa Kiswahili unaofaa kumwelezea huyu Mtanzania, Aseri Katanga aliyekaribishwa ndani ya kasri ya Malkia Elizabeth…

Soma Zaidi »

Tanzania yashiriki mkutano wa ITU PP22

ULIMWENGU Habari na  Teknolojia ya Mawasiliano, unakutana mjini Bucharest, Romania kuanzia leo Septemba 26, 2022 hadi Oktoba 14, 2022, wakati…

Soma Zaidi »

DIT yaanza utoaji mafunzo kwa mtandao

TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kutekeleza mradi wa kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao wenye thamani ya…

Soma Zaidi »

Watanzania 33,000 hufariki kwa moshi wa kupikia

WASTANI wa Watanzania  33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana…

Soma Zaidi »

UDSM wajivunia kutoa vijana wanaoweza kujiajiri

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Ndaki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ( CoICT), kimesema mbinu na…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara Tehama Afrika

TANZANIA ni miongoni mwa nchi 10 bora barani Afrika zinazofanywa vizuri katika suala la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)…

Soma Zaidi »
Back to top button