Bunge

Bunge latabiri uchumi kukua kwa asilimia 6

BUNGE limesema uchumi unatarajiwa kukua kwa asilimia 6.0 mwaka huu na asilimia 6.1 mwaka 2026. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu…

Soma Zaidi »

Bunge laitaka kahawa stakabadhi ghalani

BUNGE limeazimia serikali ijumuishe mazao ambayo bado hayajaingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi za ghala ikiwemo kahawa. Mwenyekiti wa Kamati ya…

Soma Zaidi »

‘Kuunganisha umeme miradi ikiendelea ni nafuu’

DODOMA: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme…

Soma Zaidi »

Bunge lampongeza Samia mkutano wa nishati Dar

BUNGE limepitisha Azimio la Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Misheni 300) hapa…

Soma Zaidi »

 Kamati yapongeza ujenzi mradi wa KKK

KAMATI ya Bunge ya  Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imepongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa…

Soma Zaidi »

‘Viongozi watimize majukumu yao’

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewaomba viongozi wa kuteuliwa na kuchaguliwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Mradi EBARR wafikia asilimia 95 Zanzibar

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu katika mazungumzo bungeni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) George Mkuchika, wakati wa kikao…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu azungumza na wabunge

Soma Zaidi »

Serikali kuimarisha umeme kwenye vitongoji

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inatarajia kuanzisha mradi mpya wa upelekaji umeme katika vitongoji utakaohusisha ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button