Bunge

Majaliwa: Wapeni mikopo wenye hati za kimila za ardhi

DODOMA: SERIKALI imetoa wito kwa taasisi za kifedha ikiwemo benki kutoa fusa mbalimbali ikiwemo mikopo kwa wananchi wenye hati za…

Soma Zaidi »

Bunge laelezwa fursa vivuko Kigamboni

DODOMA: BUNGE limeelezwa kuwa kuna fursa katika uendeshaji wa vivuko katika eneo la Kigamboni – Kivukoni mkoani Dar es Salaam.…

Soma Zaidi »

Kamera kufungwa mizani 56 kukabili rushwa nchini

DODOMA: WIZARA ya Ujenzi imesema mfumo wa kamera za CCTV na taarifa za vipimo vya uzito wa magari utafungwa katika…

Soma Zaidi »

Wageni wavuna fedha za miradi kuliko wazawa

DODOMA: SERIKALI imesema asilimia kubwa ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inawanufaisha wageni kutoka nje…

Soma Zaidi »

Athari za El-Nino kugharimu bil 986/-

DODOMA: SERIKALI imesema matengenezo ya miundombinu iliyoathirika na mvua za El – Nino yanahitaji Sh bilioni 986. Waziri wa Ujenzi,…

Soma Zaidi »

Barabara za Kivule, Mpiji Magoe, Bonyokwa zatengewa fungu

DODOMA; WIZARA ya Ujenzi katika mwaka wa fedha 2024/25, imetenga kiasi cha Sh bilioni 9.7 kwa ajili ya mradi wa…

Soma Zaidi »

Serikali yazungumzia ujenzi daraja Mto Mkondoa

DODOMa; SERIKALI imesaini mkataba na Mhandisi Mshauri wa kufanya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa daraja la…

Soma Zaidi »

Bei vocha za kukwangua zapandishwa kinyemela

DODOMA: SERIKALI imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), kufuatilia suala la baadhi ya wafanyabiashara kudaiwa kupandisha kinyemela bei…

Soma Zaidi »

‘Flyover’ yanukia makutano Mwenge, Morocco

DODOMA; SERIKALI inaendelea na mazungumzo na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva ujenzi daraja Jangwani

DODOMA; Utekelezaji wa ujenzi wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam lenye urefu wa mita 390 unatarajiwa kuanza mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button